PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baba mjinga huwa anakuwa na kauli za kijinga zaidi...
Watoto wake wanalia njaa, baba ananyamazisha watoto wake anasema "msilie hata jirani yetu naye watoto wake hawajala chakula wana njaa kama nyie..."
Kama kuna uwezekano wa kumfikishia maneno haya moja kwa moja, angejitambua kwamba yeye ni mjinga mkubwa.
 
HIli tukio ndiyo limemwanika huyu mtu ili tujue ni mtu wa namna gani. Kauli zake ni aibu tupu! Kwa fikra kama hizi, huyu mtu kama hujaambiwa alikuwa nani, ni vigumu sana kufikiria kama aliwahi kuwa hata mjumbe wa baraza la mahakama, achilia mbali kuwa hakimu wa mahakama ya mwanzo. Kwa aina ya mtu kama huyi, na kwa nafasi aliyokuwa nayo, you can imagine atakuwa alidhulumu haki za wat kwa kiwango gani!!
Kwa kweli inashangaza sana kwa nini watu kama hawa wanajidhalilisha kiasi hiki na wakati kama huu katika maisha yao.
Mtu mwenye akili utatatetea uovu ulio wazi kabisa namna hii, kwa faida ya nani?
 
Jaji Chande asizidi kujiabisha na asiendelee kudhani kwamba uhuni ni sifa nzuri.

Uhuni au mtu huitwa “crook” si jambo la uzuri hata kidogo, tena kwa mtu mzima na mwenye heshima kama Jaji Chande.

Na pia asiongee na kuwadanganya watanganyika kwamba hata Marekani watu hupotezwa.

Suala hapa ni kwamba October 29, 2025 watu wengi waliuawa wakiwemo watoto wadogo na serikali ilikataa kutoa idadi kamili ya watu walouawa na vyombo vyake vya ulinzi na usalama.

Kinowawasha hawa wazee wahuni ni kitu gani hadi waje na kauli na ufafanuzi wa kiunafiki na kihuni?
Chande ana heshima gani? Hajawai kusimama na wananchi hiyo heshima anaitoa wapi? Mzee mwenye heshima nchi hii ni warioba Chande ni muhuni kama wahuni wengine tu
 
Kama kuna uwezekano wa kumfikishia maneno haya moja kwa moja, angejitambua kwamba yeye ni mjinga mkubwa.
Na,kama anaona kupotea watu ni "kawaida",ashauriwe na yeye apotee.Ikimpendeza,aende kwenye hizo nchi wanapopotea kizembe akapotelee mbali yeye na genge lake la wahuni.
 
Yupo sahihi ila kwetu mostly watu waliugua utapiamlo zamani hivyo uwezo wao wa kufikiri ni wa chuki, husda, tamaa, kuliko kujenga
 
Hata kufikiria huyu alikuwa Jaji Mkuu wa Tanzania inatia kichefuchefu!
Hii ni uthibitisho kuwa Taasisi nyeti za nchi zinaweza kuwa zinaongozwa na Wahuni pro.

Ni Jaji gani serious anaweza kutetea uhalifu kwa vile tu unatekelezwa na watawala??

Huko USA kama watu wanapotea itakuwa ni kwa sababu ya mambo kama ajali, siyo utekaji, ufiraji na mauaji ya wakosoaji wa serikali kama yanayofanywa na watawala haramu wa Tanzania
 
Sawa bhana sisi tunaishi kisiwani na hatujui yanayoendelea huko nje,. Lakini Jaji Chande unamkubuka Gerge Floyd?
 
Na,kama anaona kupotea watu ni "kawaida",ashauriwe na yeye apotee.Ikimpendeza,aende kwenye hizo nchi wanapopotea kizembe akapotelee mbali yeye na genge lake la wahuni.
Dah!

Najuwa ni vigumu kwa Chande kupata taarifa toka JF moja kwa moja.

Ila nadhani inawezekana kutengeneza "Mabango" makubwa yanayobeba maneno ya aina hii na kuyaweka mahala anapoweza kuyasoma kiurahisi kabisa.

Nipo tayari kufadhili utengenezaji wa mabango ya aina hii. Naomba tu apatikane fundi mzuri wa kuyatengeneza na kuyafikisha maeneo sahihi ili ujumbe ufike kiurahisi.
 
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.

Marekani hawapotei kwa kutekwa na serikali mbwa wewe, mshenzi mkubwa umezeeka vibaya mpumbavu usiyejua kitu. Unaongea upumbavu.
 
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.

Kupotea kwa watu Marekani ni justification ya kutekwa kwa watu Tanzania?

Mbona anadharirisha taaluma huyu?
 
Back
Top Bottom