Maamuzi yasiyowahi kufikiriwa ndio nini?
Zitto naweza kutengeneza questionnaire (structured) either
a) Unabaki chadema kama mwanachama
b) Unaacha siasa na kuwa mwalimu wa chuo (refer your previous comments)
c) Unajiunga na CCM
d) Unajiunga na NSSR, (aliko kufulila),
e) Unajiunga na CUF
f) Others (hii ndio kitu JF ndio bado haijafikirika)
Unaongee nini wewe?Mie nafikiri atambadili dini TUMAINI na BARUBARU ili waungane na David Kafulila kwenye chama chake kipya na dini yake ya Kikristo (kama sikosei).
Tumaini na Barubaru anzeni kujifunza kusali na MASHOGA wa ANGLICAN hihiiiiiiii 🙂
Ila mkiwa huko mkae vizuri maana mkijisahau, kinyani kimewapitia kati ya miguu.
Tumaini na Barubaru .............................. wenye wivu wajinyonge 🙂
Hii picha utadhani wanaambiana;
Hii picha utadhani wanaambiana;
S:Bwa mdogo, hii message iliyoko humu ni ya kwako au ya sisimizi?
Z: We mzee vipi? Niachie nasema, ohoo!
Source : Mwananchi kwenye habari ya DCI Manumba .......
......
"Sitaki kugombana na mtu mimi. Wala msiniweke kwenye kifungo cha siasa. Ni bora niishi huru kuliko katika mateso ya siasa za kipumbavu kabisa. Nitafanya maamuzi ambayo hayajawahi kufikiriwa," alisema Zitto katika taarifa yake kwa Mwananchi.
Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema na kwamba "wanapaswa waniache nipumzike na kufanya mambo yangu".
"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha," alisema.
Katika kuonyesha kuchukizwa na baadhi ya taarifa alizoziita za kizushi zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku (si Mwananchi), Zitto, alisema: "Faragha yangu ni faragha yangu, Zitto ni Zitto kama yeye na siyo mali ya Chadema.
Akizungumzia uhusiano wake na Kafulila aliyehamia NCCR-Mageuzi kutoka Chadema, Zitto alisema: "Siku zote msimamo wangu umekuwa kwa wale wanaokandamizwa... na katika hili David (Kafulila) ndiye anayekandamizwa."
Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema katika kufanya mambo yake.
"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha yangu."
"Msimwandame Kafulila. Mumwache mtoto wa watu. Mmeshamwita sisimizi inatosha. Msijaribu kunigombanisha na Kafulila. Sitaki... sitaki... sitaki," aling'aka Zitto.
1. Mwananchi ndio waliocreate hii habari
2. Wanajua Zitto hajaenda Polisi, hivyo kwa makusudi wakamuuliza DCI kama Zitto ameenda kutoa taarifa na jibu la Manumba ni HAJAPELEKA
3.Title inasema,DCI kasema Zitto apeleke tuhuma za Chadema.Kitu ambacho DCI hajasema toka mdomoni mwake....
4. Msingi wa habari hii ni Zitto na password na sio Zito na Chadema
Dr. Slaa wa leo sio yule tuliyekuwa tunamjua miezi michache iliyopita. Wa sasa anaonekana shallow na mnafiki.
- Inasikitisha kuona jinsi Dr. Slaa anavyoendelea kulaghai umma kwa kukataa the obvious. Kama hakuna mgogoro, anafafanua nini kila siku kwenye vyombo vya habari?
- Huku kumuandama Zitto as if hawezi kumpata kwenye simu na kujadili hayo anayojadili kwenye wanahabari sijui nako kuna nia gani.
Nafuu ya Mbowe ambaye yeye kakaa kimyaa kimya kabisaa kama vile sio kiongozi wa CHADEMA. Kamuachia Mzee wa wa watu wa kimbulu amfanyie madudu yake na wakati huo huo kujimaliza mwenyewe.
Wanasiasa wa Tanzania bwana, yaani mtu anatoa an open ended statement kama hiyo. Mbunge wa kutumainiwa huyu.
Aliyekuwa anajenga suspense kwa kusema "I'm gonna do a song, that you have never heard before" alikuwa James Brown, na ile ilikuwa showbizz, sasa hizi rants za ki showbizz zinatoka wapi katika siasa zetu?
What am I talking about, as if Siasa is not the low end of showbizz.
Sasa hapa kawaachia watu interpretation.Wanaotaka kusema Zitto anataka kunywa vidonge sawa, wanaotaka kusema Zitto anataka kumcharanga mtu risasi sawa, maana kasema anataka kufanya kitu ambacho hakijawahi kufikiriwa bila kukisema specifically, hata kutoa hint tu.
Huyu huyu mtu analalamika waandishi wanavyomuandika, halafu hapo hapo anawapa an open ended quotation, open to any interpretation, ammunition for some more malicious articles.Huyu mtu yuko serious kweli au ana enjoy hii attention (any publicity is good publicity style)?
Emotional instability ikikufanya uwe controlled na story badala ya wewe kui control story unaonyesha jinsi usivyo na uwezo wa kuongoza.
Nina kerwa na hata kuumizwa na vijana wajinga wa JF hata kama wana haki ya kusema maoni hapa . Ni ujinga na ujuha mtu kukaa na kuombea Chadema ife kwa sababu yeye ni mtoto wea Fisadi ana ndoa mafisadi . Laana nyie watoto na hamjui hukumu yenu mbele . Zitto na wapambe wake na Chadema na wapambe wake need to be more careful . Hapa hakuna cha Zitto kama ndugu yetu na Chadema kama Chama . Hapa ni Tanzania yangu kwanza .
Zitto na Chadema kwa ujumla mmeleta matumaini makubwa kwa watanzania na si siri ni Chadema na CCM na si chama chochote kile. Zitto popote ulipo mkuu wangu fikiria sana . Ulismama kidete kwa issue kibao kuanzia Chacha Wangwe hadi Uenyekiti huwezi kushindwa kukaa na Chama chako . Nasema Chama chako kwa kuwa wakati unaanza watu walikuita kichaa nk . Walikuita kila aina ya majina na akina Mtei na Bob Makani na wale wote walio jaribu upinzani . Zitto kumbuka mikutano yenu pale Mnazi mmoja walikuwa wanakuja watu wa aina na hata support haikuwepo kwa watanzania .watu wenye akili mbovu kama hizi zinazo kuchochea hapa ndiyo walikiuwa wanakuzomeeni siku zile .
Leo mmesimamisha Chama lazima wote ambao wanachochea migogoroi ama ndani ya Chadema ama nje walaaniwe na wasikufanye ukavunjika moyo na kuacha Chadema .
Nilitegemea watu wahoji kisa kwa Zitto na Chadema kwa undani kwa nia ua kuijenda Chadema kwa instituatuon yenye heshika kumbe ujinga unazidi kuhubiriwa hapa .Nasema ujinga ndiyo maana mods mnaachia wapumbavu wanatumia jukwaa hili vibaya .Kila leo ni ku twist story na kumtukana Zitto na kuleta uchonganishi . Ujingatumechoka . FMES anaimba kila siku Tanzania kwanza yeye pamoja na kuwa ni CCM damu anasema Chadema hapana si wakati huu lakini sijui wengine ni kula kulala wanaendeleza kuchochea upuuzi .
Mnisamehe kwa lugha hii lakini JF inatakuwa kutafuta suluhu ya matatizo ya Nchi ikiwa ni pamoja kuisaidia Chadema chama cha Vijana na tumaini jipya .Tunaweza kusema kwa kujenga na Chadema na Zitto wakasikia . Kukosana ni kawaida kama kuna mapungufu Slaa , Mbowe take Charge mwiteni Zitto muelezane tuache upuuzi hapa .
Kuna tabia ya names calling mara wakatoliki nk . Hii ni kukosea watu heshima na Mods nashangaa mnakaa kimya . Je nasi tuanze kuita majina ya ajabu hapa ?
Nimewakwaza wastaarabu wengine wa JF mnisamehe lakini pia naamini mnaelewa naongelea nini .
Wabe,
With quotes kama hizo unawezaje kuwalaumu waandishi tu? Zitto naye anajiweka katika hali ya kuandikwa vibaya mwenyewe.
- Mkuu Lunyungu, heshima mbele sana toka niingie JF sijawahi kuona ukiwa emotional like this, ninasema hivi kama kuna waliokuelewa hakuna wa kunizidi, na umenikumbusha tulipoongea kwa simu last time ukiwa kwenye uchaguzi Biharamulo, bado sijahau swali moja uliloniuliza kwamba all the games CCM played katika kuidhinisha ugombea wa Oscar, ili iwe nini?
- Maneno yako yote hapo juu ni 100% right, Chadema ikifa then itakuwa nini? Sidhani kama wengi tunajiuliza maswali serious namna hii, nimesema mara kwa mara kwamba kama sio Chadema, leo serikali ya CCM ingekuwa inatuchapa viboko bara barani!
- However: Kuharibika kwa hewa huko Chadema sasa hivi, ninawalaumu sana wazee wa huko kwa kukosa busara nzito za kuendesha siasa za taifa kichama, hakuna modern tactics, hakuna smart political strategies, huko Chadema inaonekana wanachama na viongozi wanajiendea tu na kufanya anything, I mean mwanachama mdogo sana na wa kawaida ana nguvu za ajabu za hata kuweza kuitisha press conf. na kusema siri nyingi za chama, sasa you wonder amezijuaje kama zinatakiwa kuwa siri tena za juu?
- Freeman amejitahidi sana lakini na yeye anafika mahali anahitaji msaada, bado ni mchanga pia kisiasa na hasa busara za siasa za taifa, mnamnyima Zitto uenyekiti, sawa mlitakiwa kutathmini matokeo bila kuwa bias, mlihitaji a devil advocate wa kuweza kuwaambia msiyoyataka, kwamba Zitto ni maarufu na yuko juu sana kisiasa, sasa kwa sababu hamumpi uenyekiti, basi mpeni hata umakamu, au kama hamumutaki kwenye chama, basi mruhusuni agombee mkamchinje kwenye majukwaa na uwe ndio mwisho wake kisiasa, lakini kwa mnayoyafanya sasa hivi, sio siri kwamba mna safari ndefu sana kwa sababu mmeshindwa kutathmini the effect ya Zitto na kukosa uenyekiti, sasa mzimu wenu wenyewe unawala!
- Sijawahi kuona siasa foolish kama hizi mnazozifanya sasa, unamnyima kiongozi maarufu wa chama chako kugombea nafasi kubwa, halafu unaanza kumnyanyasa kwa njia za kijinga jinga ambazo hata ukiulizwa na wenye akili nyingi huwezi kuzi-defend, wala kuzi-define ukaeleweka, hujui kwamba in-the process unazidi kumjenga, huku ukikaribisha unwanted attention ndani ya chama chako, sasa unaona kina Manumba wameshaanza kujisogeza pole pole, the next thing utamsikia Hosea akija huko kunusa nusa halafu mtaishia kulaumu kila mtu isipokuwa nyinyi wenyewe ambao ndio hasa chanzo cha huu upuuuzi!
- Mkuu Lunyungu, hapa niko na wewe kwamba Chadema wanahitaji kuweka sawa nyumba yao, a house divided against itself haiwezi kusimama na kutusaidia taifa, wazee huko Chadema hebu kaeni chini na Zitto, mumsikilize anasema nini na anataka nini, sio lazima mumpe kila kitu anachotaka lakini ikibidi mkutane kati kati basi, na kufanya hivyo kwenye siasa sio kushindwa wala ujinga ndio smart modern politics zinavyotaka, ninarudia tena maneno yangu ya juzi kwamba Chadema, kukua kwenu na kufa kwenu, sasa hivi kunategemea mtakavyo -deal na hii ishu ya Zitto, msim-underestimate huyu mtajimaliza wenyewe, sasa ondoeni hizi habari zenu kwenye media kwanza, waiteni wale wote waliojitoa muone kama mnaweza kuwarudisha chamani un-conditionally, na ndugu yangu Freeman kama haya maji ni mazito mno basi busara hapa ni kuachia ngazi ikibidi kwa manufaa ya chama.
- Hivi Chadema mmeshawahi ku-imagine mkifa mtakuwa mmetufanyia nini wanachi wa Tanzania? I mean inasikitisha sana eti! Dr. Slaa kwa kusema haya uliyoyasema hadharani exactly unategemea ku-accomplish what? Mawasiliano ya siri ya Zitto yanayolindwa na sheria ya jamhuri kama haki zake za kibinadam wewe umeyapataje kama hukuvunja haki zake kisheria? Hivi huko chadema hakuna washauri wa siasa wala sheria?
Respect.
FMEs!
Unaongee nini wewe?
nafikiri kichwa chako nimejaa hewa??
maneno mengi ya busara sana, haya machache ndo yananiuma sana, tangu juzi nimetafakari sana juu ya usaliti huu.Hivi Chadema mmeshawahi ku-imagine mkifa mtakuwa mmetufanyia nini wanachi wa Tanzania? I mean inasikitisha sana eti!

Duh