Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nina kerwa na hata kuumizwa na vijana wajinga wa JF hata kama wana haki ya kusema maoni hapa . Ni ujinga na ujuha mtu kukaa na kuombea Chadema ife kwa sababu yeye ni mtoto wea Fisadi ana ndoa mafisadi . Laana nyie watoto na hamjui hukumu yenu mbele . Zitto na wapambe wake na Chadema na wapambe wake need to be more careful . Hapa hakuna cha Zitto kama ndugu yetu na Chadema kama Chama . Hapa ni Tanzania yangu kwanza .

Zitto na Chadema kwa ujumla mmeleta matumaini makubwa kwa watanzania na si siri ni Chadema na CCM na si chama chochote kile. Zitto popote ulipo mkuu wangu fikiria sana . Ulismama kidete kwa issue kibao kuanzia Chacha Wangwe hadi Uenyekiti huwezi kushindwa kukaa na Chama chako . Nasema Chama chako kwa kuwa wakati unaanza watu walikuita kichaa nk . Walikuita kila aina ya majina na akina Mtei na Bob Makani na wale wote walio jaribu upinzani . Zitto kumbuka mikutano yenu pale Mnazi mmoja walikuwa wanakuja watu wa aina na hata support haikuwepo kwa watanzania .watu wenye akili mbovu kama hizi zinazo kuchochea hapa ndiyo walikiuwa wanakuzomeeni siku zile .

Leo mmesimamisha Chama lazima wote ambao wanachochea migogoroi ama ndani ya Chadema ama nje walaaniwe na wasikufanye ukavunjika moyo na kuacha Chadema .

Nilitegemea watu wahoji kisa kwa Zitto na Chadema kwa undani kwa nia ua kuijenda Chadema kwa instituatuon yenye heshika kumbe ujinga unazidi kuhubiriwa hapa .Nasema ujinga ndiyo maana mods mnaachia wapumbavu wanatumia jukwaa hili vibaya .Kila leo ni ku twist story na kumtukana Zitto na kuleta uchonganishi . Ujingatumechoka . FMES anaimba kila siku Tanzania kwanza yeye pamoja na kuwa ni CCM damu anasema Chadema hapana si wakati huu lakini sijui wengine ni kula kulala wanaendeleza kuchochea upuuzi .

Mnisamehe kwa lugha hii lakini JF inatakuwa kutafuta suluhu ya matatizo ya Nchi ikiwa ni pamoja kuisaidia Chadema chama cha Vijana na tumaini jipya .Tunaweza kusema kwa kujenga na Chadema na Zitto wakasikia . Kukosana ni kawaida kama kuna mapungufu Slaa , Mbowe take Charge mwiteni Zitto muelezane tuache upuuzi hapa .

Kuna tabia ya names calling mara wakatoliki nk . Hii ni kukosea watu heshima na Mods nashangaa mnakaa kimya . Je nasi tuanze kuita majina ya ajabu hapa ?

Nimewakwaza wastaarabu wengine wa JF mnisamehe lakini pia naamini mnaelewa naongelea nini .
 
Wanasiasa wa Tanzania bwana, yaani mtu anatoa an open ended statement kama hiyo. Mbunge wa kutumainiwa huyu.

Aliyekuwa anajenga suspense kwa kusema "I'm gonna do a song, that you have never heard before" alikuwa James Brown, na ile ilikuwa showbizz, sasa hizi rants za ki showbizz zinatoka wapi katika siasa zetu?

What am I talking about, as if Siasa is not the low end of showbizz.

Sasa hapa kawaachia watu interpretation.Wanaotaka kusema Zitto anataka kunywa vidonge sawa, wanaotaka kusema Zitto anataka kumcharanga mtu risasi sawa, maana kasema anataka kufanya kitu ambacho hakijawahi kufikiriwa bila kukisema specifically, hata kutoa hint tu.

Huyu huyu mtu analalamika waandishi wanavyomuandika, halafu hapo hapo anawapa an open ended quotation, open to any interpretation, ammunition for some more malicious articles.Huyu mtu yuko serious kweli au ana enjoy hii attention (any publicity is good publicity style)?

Emotional instability ikikufanya uwe controlled na story badala ya wewe kui control story unaonyesha jinsi usivyo na uwezo wa kuongoza.
 
DCI: Zitto, tuletee tuhuma za chadema

Na Ramadhan Semtawa

SIKU chache baada ya naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kulalamika kuingiliwa kwenye anuani yake ya barua pepe, Jeshi la Polisi limesema kuingilia mawasiliano ya faragha ya mtu ni jinai na kumtaka mwanasiasa huyo atoe taarifa polisi ili waanze kulishughulikia.

Zitto, ambaye yuko Ujerumani ambako anasoma, alikaririwa na vyombo vya habari wiki iliyopita akidai kuwa anaingiliwa mawasiliano katika anuani yake ya barua pepe (e-mail), kitu alichosema ni aghalabu kufanywa hata na Idara ya Usalama wa Taifa.

Zitto, ambaye juzi alituma barua pepe kwenye gazeti hili kulalamikia kitendo hicho huku akitangaza kutembea na barua ya kujiuzulu uongopzi Chadema, alieleza kusikitishwa na kitendo hicho ambacho alidai kinafanywa na chama chake.

Hata hivyo, DCI Manumba alipoulizwa jijini Dar es Salaama jana kuhusu malalamiko ya Zitto, alijibu: "Sisi hutujapata rasmi malalamiko hayo, lakini akileta tutachunguza kwa kuwa si sahihi kuingilia mawasiliano ya mtu."

Kwa mujibu wa DCI Manumba, mawasiliano ya barua pepe na mengine ni faragha hivyo ni makosa kwa mtu yeyote kuingilia mawasiliano ambayo hayamhusu.

"Kwa kawaida ni makosa kuingilia mawasiliano ya mtu siku zote tukipata taarifa kama hizo tunachoweza kufanya ni kuchunguza kuthibitisha kwanza kwani ni suala kitaalamu zaidi," alifafanua DCI Manumba.

DCI aliongeza kwamba, siku zote wamekuwa wakichunguza malalamiko yote yanayofikishwa kwao kama yanahusiana na uingiliaji wa faragha ya mtu ikiwemo mawasiliano yake.

Alifafanua kuwa iwapo mlalamikaji akifikisha malalamiko yake, wao huwa hawasiti kuchunguza bila kuangalia jambo lenyewe lina mlengo gani.

"Ni sawa na mtu akimpiga mkewe sisi tukiletewa taarifa, kwanza tunachunguza halafu tunachukua hatua za kisheria kwa mhusika baada ya kujiridhisha. Kwa hiyo hata yeye (Zitto) akileta tutachunguza," aliongeza.

"Siku zote tunafanyia kazi taarifa zinazotufikia, kama kuna mtu anazo taarifa akileta kwamba mawasiliano yake yameingiliwa tutafanyia kazi tukio hilo ili kujiridhisha."

Malalamiko ya Zitto yalitokana na taarifa iliyotolewa na chama hicho kilichodai kuwa ofisa habari aliyetimuliwa, David Kafulila anatumia anuani ya barua pepe ya Zitto visivyo halali. Kafulila na Zitto ni marafiki wakubwa.

"Sitaki kugombana na mtu mimi. Wala msiniweke kwenye kifungo cha siasa. Ni bora niishi huru kuliko katika mateso ya siasa za kipumbavu kabisa. Nitafanya maamuzi ambayo hayajawahi kufikiriwa," alisema Zitto katika taarifa yake kwa Mwananchi.

Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema na kwamba "wanapaswa waniache nipumzike na kufanya mambo yangu".

"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha," alisema.

Katika kuonyesha kuchukizwa na baadhi ya taarifa alizoziita za kizushi zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku (si Mwananchi), Zitto, alisema: "Faragha yangu ni faragha yangu, Zitto ni Zitto kama yeye na siyo mali ya Chadema.

Akizungumzia uhusiano wake na Kafulila aliyehamia NCCR-Mageuzi kutoka Chadema, Zitto alisema: "Siku zote msimamo wangu umekuwa kwa wale wanaokandamizwa... na katika hili David (Kafulila) ndiye anayekandamizwa."

Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema katika kufanya mambo yake.

"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha yangu."
"Msimwandame Kafulila. Mumwache mtoto wa watu. Mmeshamwita sisimizi inatosha. Msijaribu kunigombanisha na Kafulila. Sitaki... sitaki... sitaki," aling'aka Zitto

Kabla ya kuchangia isomeni hii taarifa na itafakarini.

1. Mwananchi ndio waliocreate hii habari
2. Wanajua Zitto hajaenda Polisi, hivyo kwa makusudi wakamuuliza DCI kama Zitto ameenda kutoa taarifa na jibu la Manumba ni HAJAPELEKA
3.Title inasema,DCI kasema Zitto apeleke tuhuma za Chadema.Kitu ambacho DCI hajasema toka mdomoni mwake....
4. Msingi wa habari hii ni Zitto na password na sio Zito na Chadema

Kwa makusudi kabisa hili gazeti lina create na litacreate habari nyingi zihusuzo Kafulila, Zito na Chadema.

Kuna watu humu nikiwamo tumekuwa tukiishauri sana Chadema kukwepa kabisa kufanya siasa na media

Hawa jamaa wanawaza kutumia tumbo na midomo iko wazi kwenye pesa.

Mtei(nitaendelea kumlaumu katika hili) aliviambia vyombo vya habari kuwa CCM wamepenyeza hela kwenye uchaguzi wa Chadema. Hakuweza kuwasema ni akina nani waliotoa hela na akina nani waliopokea hela. Lengo ni kutetea ubakaji wa demokrasia walioufanya. Cheza na media kwa vitu genuine JK na EL... nayo yanawashinda sembuse Chadema??
 
Nina kerwa na hata kuumizwa na vijana wajinga wa JF hata kama wana haki ya kusema maoni hapa . Ni ujinga na ujuha mtu kukaa na kuombea Chadema ife kwa sababu yeye ni mtoto wea Fisadi ana ndoa mafisadi . Laana nyie watoto na hamjui hukumu yenu mbele . Zitto na wapambe wake na Chadema na wapambe wake need to be more careful . Hapa hakuna cha Zitto kama ndugu yetu na Chadema kama Chama . Hapa ni Tanzania yangu kwanza .

Zitto na Chadema kwa ujumla mmeleta matumaini makubwa kwa watanzania na si siri ni Chadema na CCM na si chama chochote kile. Zitto popote ulipo mkuu wangu fikiria sana . Ulismama kidete kwa issue kibao kuanzia Chacha Wangwe hadi Uenyekiti huwezi kushindwa kukaa na Chama chako . Nasema Chama chako kwa kuwa wakati unaanza watu walikuita kichaa nk . Walikuita kila aina ya majina na akina Mtei na Bob Makani na wale wote walio jaribu upinzani . Zitto kumbuka mikutano yenu pale Mnazi mmoja walikuwa wanakuja watu wa aina na hata support haikuwepo kwa watanzania .watu wenye akili mbovu kama hizi zinazo kuchochea hapa ndiyo walikiuwa wanakuzomeeni siku zile .

Leo mmesimamisha Chama lazima wote ambao wanachochea migogoroi ama ndani ya Chadema ama nje walaaniwe na wasikufanye ukavunjika moyo na kuacha Chadema .

Nilitegemea watu wahoji kisa kwa Zitto na Chadema kwa undani kwa nia ua kuijenda Chadema kwa instituatuon yenye heshika kumbe ujinga unazidi kuhubiriwa hapa .Nasema ujinga ndiyo maana mods mnaachia wapumbavu wanatumia jukwaa hili vibaya .Kila leo ni ku twist story na kumtukana Zitto na kuleta uchonganishi . Ujingatumechoka . FMES anaimba kila siku Tanzania kwanza yeye pamoja na kuwa ni CCM damu anasema Chadema hapana si wakati huu lakini sijui wengine ni kula kulala wanaendeleza kuchochea upuuzi .

Mnisamehe kwa lugha hii lakini JF inatakuwa kutafuta suluhu ya matatizo ya Nchi ikiwa ni pamoja kuisaidia Chadema chama cha Vijana na tumaini jipya .Tunaweza kusema kwa kujenga na Chadema na Zitto wakasikia . Kukosana ni kawaida kama kuna mapungufu Slaa , Mbowe take Charge mwiteni Zitto muelezane tuache upuuzi hapa .

Kuna tabia ya names calling mara wakatoliki nk . Hii ni kukosea watu heshima na Mods nashangaa mnakaa kimya . Je nasi tuanze kuita majina ya ajabu hapa ?

Nimewakwaza wastaarabu wengine wa JF mnisamehe lakini pia naamini mnaelewa naongelea nini .

Lunyungu
Hakuna anayependa chama fulani kife kama kweli hicho chama kinasimamia misingi ya sheria,haki,demokrasia na uhuru wakati masilahi ya Taifa yakiwa mbele.

Kama Chadema hawafuati misingi hiyo mimi niko wa kwanza kukiombea kufa, siishii kwa chadema tu naenda mbali zaidi kwa maombi ya namna hiyo vyama vyote vya Tanzania vinafaa KUFA.

Zitto wapinzani wake wamemweka kati na kumshikia remote control afuate LABEL FORWARDING PATH ambayo wameshaiindaa na naona Zitto naye anataka kuifuata.

Kwa ushauri wangu japo mie ni sisimizi usimwage manyanga komaa nao mpaka watakapo kumwagisha mayanga wao wenyewe. Cha kufanya saizi uwe na Ngozi ya Kiboko chukulia manenomaneo yao kama domokaya ambalo ni SCALAR quantity.

Lunyungu
Wengine hapa sio wafuasi wa vyama vya upinzani ili kuangusha chama tawala kwa malengo ambayo wahusika wanayo na ku ya label label nyingine.

sisi wengine tunataka uhuru wa kweli, mapinduzi ya kweli ya kia akili ,kimienendo, kimtazamo ,kijamii na kitaifa kwa ujumla bila kuangalia ni chama gani kitatekeleza hayo.

Leo CCM wakibatizwa wakazaliwa upya na kuanza kufanya mambo ambayo ni kipaumbele kwa Taifa hakika nitakuwa wa kwanza kupeperusha bendera kwa kujitolea,vivyo hivyo kwa TLP,CHADEMA,CUF nk. Binafsi siangalii ni nani atayetekeleza bali naangalia kinachotekelezwa.
 
Life begins at 40. Welcome to the real world.
 
Wanasiasa wa Tanzania bwana, yaani mtu anatoa an open ended statement kama hiyo. Mbunge wa kutumainiwa huyu.

Aliyekuwa anajenga suspense kwa kusema "I'm gonna do a song, that you have never heard before" alikuwa James Brown, na ile ilikuwa showbizz, sasa hizi rants za ki showbizz zinatoka wapi katika siasa zetu?

What am I talking about, as if Siasa is not the low end of showbizz.

Sasa hapa kawaachia watu interpretation.Wanaotaka kusema Zitto anataka kunywa vidonge sawa, wanaotaka kusema Zitto anataka kumcharanga mtu risasi sawa, maana kasema anataka kufanya kitu ambacho hakijawahi kufikiriwa bila kukisema specifically, hata kutoa hint tu.

Emotional instability ikikufanya uwe controlled na story badala ya wewe kui controll story unaonyesha jinsi usivyo na uwezo wa kuongoza.

I concur,swali je amesema? ukiisoma hiyo taarifa ina walakini kaka

Lakini pia kama kweli amesema, je binadamu hatuna limit ya kujizuia, avumilie mangapi ndio tujue ni kiongozi mzuri? Can you figure out how Zitto is surviving in Chadema? nimeshawahi hata kumtania kuwa mkuu unajikaza humo ndani ya Chadema, kuna dalili ya jamaa kuwa EXCOMMUNICATED and this is bad, real bad, just imagine it

waanzisha thread za Chadema na Zito humu wengi ni Chadema, wanaomtukana na kumponda Zito humu wengi ni Chadema! sasa waache wanywe kama ni kweli next time watajifunza maana wanaonekana hawakui! Au haujawahi kurushiana post na wanachadema? kuna baadhi wastaarabu, wengi wao, ngumi mkononi! Mbaya zaidi ni kiongozi wao! this is another sign of beig excommunicated in the society of Chadema.

This is why many people think opposition and politics as a whole is wasting of time.
 
Si mumfukuze au Zito kawa maarufu kuliko Chadema na ndio mutaji wa kuwapitisha kwenye uchaguzi ujao,kwa maana siku hizi vyama sio maarufu ila viongozi wake ndio maarufu!
 
DCI: Zitto, tuletee tuhuma za chadema

Na Ramadhan Semtawa

SIKU chache baada ya naibu katibu mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe kulalamika kuingiliwa kwenye anuani yake ya barua pepe, Jeshi la Polisi limesema kuingilia mawasiliano ya faragha ya mtu ni jinai na kumtaka mwanasiasa huyo atoe taarifa polisi ili waanze kulishughulikia.

Zitto, ambaye yuko Ujerumani ambako anasoma, alikaririwa na vyombo vya habari wiki iliyopita akidai kuwa anaingiliwa mawasiliano katika anuani yake ya barua pepe (e-mail), kitu alichosema ni aghalabu kufanywa hata na Idara ya Usalama wa Taifa.

Zitto, ambaye juzi alituma barua pepe kwenye gazeti hili kulalamikia kitendo hicho huku akitangaza kutembea na barua ya kujiuzulu uongopzi Chadema, alieleza kusikitishwa na kitendo hicho ambacho alidai kinafanywa na chama chake.

Hata hivyo, DCI Manumba alipoulizwa jijini Dar es Salaama jana kuhusu malalamiko ya Zitto, alijibu: "Sisi hutujapata rasmi malalamiko hayo, lakini akileta tutachunguza kwa kuwa si sahihi kuingilia mawasiliano ya mtu."

Kwa mujibu wa DCI Manumba, mawasiliano ya barua pepe na mengine ni faragha hivyo ni makosa kwa mtu yeyote kuingilia mawasiliano ambayo hayamhusu.

"Kwa kawaida ni makosa kuingilia mawasiliano ya mtu siku zote tukipata taarifa kama hizo tunachoweza kufanya ni kuchunguza kuthibitisha kwanza kwani ni suala kitaalamu zaidi," alifafanua DCI Manumba.

DCI aliongeza kwamba, siku zote wamekuwa wakichunguza malalamiko yote yanayofikishwa kwao kama yanahusiana na uingiliaji wa faragha ya mtu ikiwemo mawasiliano yake.

Alifafanua kuwa iwapo mlalamikaji akifikisha malalamiko yake, wao huwa hawasiti kuchunguza bila kuangalia jambo lenyewe lina mlengo gani.

"Ni sawa na mtu akimpiga mkewe sisi tukiletewa taarifa, kwanza tunachunguza halafu tunachukua hatua za kisheria kwa mhusika baada ya kujiridhisha. Kwa hiyo hata yeye (Zitto) akileta tutachunguza," aliongeza.

"Siku zote tunafanyia kazi taarifa zinazotufikia, kama kuna mtu anazo taarifa akileta kwamba mawasiliano yake yameingiliwa tutafanyia kazi tukio hilo ili kujiridhisha."

Malalamiko ya Zitto yalitokana na taarifa iliyotolewa na chama hicho kilichodai kuwa ofisa habari aliyetimuliwa, David Kafulila anatumia anuani ya barua pepe ya Zitto visivyo halali. Kafulila na Zitto ni marafiki wakubwa.

"Sitaki kugombana na mtu mimi. Wala msiniweke kwenye kifungo cha siasa. Ni bora niishi huru kuliko katika mateso ya siasa za kipumbavu kabisa. Nitafanya maamuzi ambayo hayajawahi kufikiriwa," alisema Zitto katika taarifa yake kwa Mwananchi.

Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema na kwamba "wanapaswa waniache nipumzike na kufanya mambo yangu".

"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha," alisema.

Katika kuonyesha kuchukizwa na baadhi ya taarifa alizoziita za kizushi zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku (si Mwananchi), Zitto, alisema: "Faragha yangu ni faragha yangu, Zitto ni Zitto kama yeye na siyo mali ya Chadema.

Akizungumzia uhusiano wake na Kafulila aliyehamia NCCR-Mageuzi kutoka Chadema, Zitto alisema: "Siku zote msimamo wangu umekuwa kwa wale wanaokandamizwa... na katika hili David (Kafulila) ndiye anayekandamizwa."

Alisisitiza kwamba kamwe hatasukumwa na Chadema katika kufanya mambo yake.

"Hakuna mtu ananayeweza kuzungumza kwa niaba yangu hata kama ni rafiki yangu, siasa siyo chaguo langu la pekee katika maisha yangu."
"Msimwandame Kafulila. Mumwache mtoto wa watu. Mmeshamwita sisimizi inatosha. Msijaribu kunigombanisha na Kafulila. Sitaki... sitaki... sitaki," aling'aka Zitto

Kabla ya kuchangia isomeni hii taarifa na itafakarini.

1. Mwananchi ndio waliocreate hii habari
2. Wanajua Zitto hajaenda Polisi, hivyo kwa makusudi wakamuuliza DCI kama Zitto ameenda kutoa taarifa na jibu la Manumba ni HAJAPELEKA
3.Title inasema,DCI kasema Zitto apeleke tuhuma za Chadema.Kitu ambacho DCI hajasema toka mdomoni mwake....
4. Msingi wa habari hii ni Zitto na password na sio Zito na Chadema

Kwa makusudi kabisa hili gazeti lina create na litacreate habari nyingi zihusuzo Kafulila, Zito na Chadema.

Kuna watu humu nikiwamo tumekuwa tukiishauri sana Chadema kukwepa kabisa kufanya siasa na media

Hawa jamaa wanawaza kutumia tumbo na midomo iko wazi kwenye pesa.

Mtei(nitaendelea kumlaumu katika hili) aliviambia vyombo vya habari kuwa CCM wamepenyeza hela kwenye uchaguzi wa Chadema. Hakuweza kuwasema ni akina nani waliotoa hela na akina nani waliopokea hela. Lengo ni kutetea ubakaji wa demokrasia walioufanya. Cheza na media kwa vitu genuine JK na EL... nayo yanawashinda sembuse Chadema??

sasa Mwananchi kosa lao nini kaka? wameletewa email na Zitto ndio wanatujulisha.. Ukisoma kwa makini utagundua ni muendelezo wa habari ya manumba yaani hapao ni habari mbili ndani ya moja. Wewe ukisema kitu watu wakaripoti utasema wanacreate? kama hutaki wasiandike usiwatumie email wala usiongee.
 
Kwa hakika Zitto tuliyemzoea bungeni na katika siasa za bongo hawezi kutoa kauli kama hii.
Lakini kama ni kweli kauli hii ni yake na kama hataikana mapema kabisa basi nitalazimika kuungana nao wanaotamka kuwa Zitto ameondoka kwenye mission yake ya awali. Mission ambayo CHADEMA walimjenga kuifanya na sasa kavua viatu hawezi tena kucheza kabaki kushambulia wachezaji wenzake kwa maneno akiwa uwanjani.

Wanaotarajia makubwa kutoka kwa Zitto hawajajua ukweli huu. Shangwe ya democrats italipuka Zitto akisema NATOKA CHADEMA. Hilo ndo jambo kubwa ambalo limebaki kwa Zitto kulifanya. Mengine yote hayana mashiko kwa democrats.
 
cHADEMA WAMECHANGANYIKIWA.CHAIRMAN KIDATO CHA NNE NA KATIBU ANA MZIGO FEKI(PhD).KAZI KUBWA.
 
I concur,swali je amesema? ukiisoma hiyo taarifa ina walakini kaka

Lakini pia kama kweli amesema, je binadamu hatuna limit ya kujizuia, avumilie mangapi ndio tujue ni kiongozi mzuri? Can you figure out how Zitto is surviving in Chadema? nimeshawahi hata kumtania kuwa mkuu unajikaza humo ndani ya Chadema, kuna dalili ya jamaa kuwa EXCOMMUNICATED and this is bad, real bad, just imagine it

waanzisha thread za Chadema na Zito humu wengi ni Chadema, wanaomtukana na kumponda Zito humu wengi ni Chadema! sasa waache wanywe kama ni kweli next time watajifunza maana wanaonekana hawakui! Au haujawahi kurushiana post na wanachadema? kuna baadhi wastaarabu, wengi wao, ngumi mkononi! Mbaya zaidi ni kiongozi wao! this is another sign of beig excommunicated in the society of Chadema.

This is why many people think opposition and politics as a whole is wasting of time.

Ina maana unataka kusema Mwananchi na direct quotes zao hizi za Zitto ni waongo?

"Sitaki kugombana na mtu mimi. Wala msiniweke kwenye kifungo cha siasa. Ni bora niishi huru kuliko katika mateso ya siasa za kipumbavu kabisa. Nitafanya maamuzi ambayo hayajawahi kufikiriwa," alisema Zitto katika taarifa yake kwa Mwananchi.
 
sasa Mwananchi kosa lao nini kaka? wameletewa email na Zitto ndio wanatujulisha.. Ukisoma kwa makini utagundua ni muendelezo wa habari ya manumba yaani hapao ni habari mbili ndani ya moja. Wewe ukisema kitu watu wakaripoti utasema wanacreate? kama hutaki wasiandike usiwatumie email wala usiongee.

sure is good options

Tatizo la hwa waandishi , wakipika habari, siku unataka kupinga wataandika tu na ya kwako, halafu watatafuta dot nyingine...LOL!
 
Wabe,

With quotes kama hizo unawezaje kuwalaumu waandishi tu? Zitto naye anajiweka katika hali ya kuandikwa vibaya mwenyewe.
 
Lunyungu

Tatizo la CHADEMA ni wabishi ,hamtaki kuambiwa ukweli mkiambiwa mnasema wametumwa na RA sasa nani atawasaidia zaidi ya kundi kubwa la kondoo lilo ktk zizi moja.?

Pia nitakwambia kinaganaga maana hafichwi mtu hapa, unaposema Mbowe amwite Zitto ili wajadili nini? hapa nawaambieni senior Engineer ktk jambo hili ni Mbowe ,exacutive engineer ni SLAA na ma fundi michundo FTCs ni akina Mnyika. Slaa haishi kutoa matamuko hili na lile.

Mimi binafsi nilivyolisoma sakata zima ,baada ya kumshauri Zitto ajitoe na akafanya hivyo kama plan A yao ilivyoenda wakaona huyu ZITTO lazima aondoke chamani maana miaka 5 si mingi na jamaa bado ni Potential ktk nafasi ya u mwenyeketi na hatimaye kusaini hudi za account za chama.

Kwa sababu za msingi ZITTO asiachie atakuwa amewapa sababu kubwa sana ya kuongea ,subiri mpaka wa kupige chini ZITTO.
 
Mkama nimekuelewa
Mfianchi na Kanda2 nadhani nyie mna nia mbaya . Unadai PhD ya Slaa feki ? Una uhakika ama ndiyo mwendelezo wa Personalities attack na ku fuel mambo ? Zitto Watanzania wawe wa kwanza so sikia kilio chao kuamua kupambana si uoga ila kuwa kama Mwalimu alikuwa analia hadi anakufa na watanzania wake .

Long live Chadema Long Live Zitto naibu Katibu Mkuu .
 
Maamuzi yasiyowahi kufikiriwa ndio nini?

Zitto naweza kutengeneza questionnaire (structured) either
a) Unabaki chadema kama mwanachama
b) Unaacha siasa na kuwa mwalimu wa chuo (refer your previous comments)
c) Unajiunga na CCM
d) Unajiunga na NSSR, (aliko kufulila),
e) Unajiunga na CUF
f) Others (hii ndio kitu JF ndio bado haijafikirika)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom