Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 847
Binafsi sipendelei personalities zinapokuwa popular kuliko chama na nadhani its about time CHADEMA wakaaachana na mikutano ya hadhara kila kukicha na waka concentrate na mambo muhimu
Otherwise wataingia hiyo EDWARD LOWASSA SYDROME ambayo symptoms zake ni pamoja na kuona ofisi kama kituo cha polisi, kutoa amri za sikusaba saba na kuzunguka nchi kila kukicha
Nakumbuka MREMA naye alikuw ahivi hivi na NCCR na najiuliza hivi leo ZITTO anaamua kujiunga na CCM au anaachana na siasa itakuwaje?