Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Ningependa kuweka sawa hili, kumekuwepo na upotoshaji wa makusudi wa genge la watu wa chama kimoja cha siasa kutaka kuteka ama kudandia hili suala la waheshimiwa wabunge wa bunge letu kutaka kuwasilisha hoja ya kuibana serikali na kulifanya ni lao kwa maana la iko chama chao kitu ambacho si kweli.

Sababu za genge hilo kifanya hivyo kwanza ni kuupotosha umma na kuondoa umuhimu na unyeti wa suala lenyewe lakini pili ni kujaribu kukipatia chama iko cheap popularity na kukifanya kionekane ndio kaka mkuu mwenye uchungu zaidi na nchi hii kitu ambacho si kweli kwani wabunge wa chama iko ukimuacha MH.ZITTO bado wameendelea kutubebesha mzigo mkubwa walipa kodi kwa kupanga foleni ya kuchukua posho ya kukaa tu kitako pale bungeni.

Sasa ili kuweka kumbukumbu sawa na kuzuia upotoshaji huo wa makusudi unaofanywa na hilo genge la chama iko nimeamua niwaletee orodha ya waheshimiwa waliolishikia bango suala hili na vyama wanavyotoka kwa vitendo then mpime wenyewe na kuona kama chama iko kinastahili kubeba ushujaa wa hili ama kinajaribu kuteka hii hoja ili kujinufaisha kisiasa.


Majina ya wabunge waliotia saini hoja ya mh.zitto kabwe



  1. Mhe. Rashid Ali Abdallah – CUF
  2. Mhe . Chiku Aflah Abwao- CHADEMA
  3. Mhe . Saluim Ali Mbarouk – CUF
  4. Mhe . salum Khalfam Barwany – CUF
  5. Mhe . Deo Haule Filikuchombe - CCM
  6. Mhe.Pauline Philipo Gekul - CHADEMA
  7. Mhe. Asaa Othman Hamad - CUF
  8. Mhe. Prof.Kuliyokela Kahigi- CHADEMA
  9. Mhe.Naomi Mwakyoma Kaihula – CHADEMA
  10. Mhe . Sylvester Kasulumbayi - CHADEMA
  11. Mhe. Raya Ibrahim Khamis - CHADEMA
  12. Mhe. Mkiwa Hamad Kiwanga - CUF
  13. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga - CHADEMA
  14. Mhe. Grace Sindato Kiwelu – CHADEMA
  15. Mhe. Kombo Khamis Kombo – CUF
  16. Mhe. Joshua Samwel Nassari – CHADEMA
  17. Mhe. Tundu Antiphas Lissu - chadema
  18. Mhe Aphaxar Kangi Lugola - CCM
  19. Mhe susan Anselim Lymo - CHADEMA
  20. Mhe. Moses Machali – NCCR Mageuzi
  21. Mhe. John Shibuda Magalle – CHADEMA
  22. Mhe. Faki Haji Makame - CUF
  23. Mhe . Esther Nicholas Matiko - CHADEMA
  24. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi - CHADEMA
  25. Mhe. Freman Aikaeli Mbowe - CHADEMA
  26. Mhe. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – CHADEMA
  27. Mhe. Halima James Mdee - CHADEMA
  28. John John Mnyika - CHADEMA
  29. Mhe. Augustino Lyatonga Mrema - TLP
  30. Mhe . Maryam Salum Msabaha - CHADEMA
  31. Mhe. Peter Msingwa - CHADEMA
  32. Mhe. Christowaja Gerson Mtinda - CHADEMA
  33. Mhe. Philipa Geofrey Mturano - CHADEMA
  34. Mhe. Christina Lissu Mughwai - CHADEMA
  35. Mhe. Joyce John Mukya – CHADEMA
  36. Mhe. Mchungaji Israel Yohane Natse – CHADEMA
  37. Mhe. Philemon Ndesamburo- CHADEMA
  38. Mhe. Ahmed Juma Ngwali - CUF
  39. Mhe. Vincent Josephat Nyerere - CHADEMA
  40. Mhe. Rashid Ali Omar - CUF
  41. Meshack Jeremiah Opulukwa - CHADEMA
  42. Mhe. Lucy Philemon Owenya - CHADEMA
  43. Mhe. Rachel Mashishanga - CHADEMA
  44. Mhe. Mhonga Said Ruhwanya – CHADEMA
  45. Mhe. Conchesta Rwamlaza – CHADEMA
  46. Mhe. Moza Abedi Saidy - CUF
  47. Mhe. Joseph Roman Selasini – CHADEMA
  48. Mhe. David Ernest Silinde - CHADEMA
  49. Mhe Rose Kamili Sukum - CHADEMA
  50. Mhe. Cecilia Daniel Paresso - CHADEMA
  51. Mhe. Kabwe Zuberi Zitto - CHADEMA
  52. Mhe. Magdalena Sakaya – CUF
  53. Mhe Rebecca Mngodo - CUF
  54. Mhe. Sabreena Sungura - CHADEMA
  55. Mhe. Hamad Rashid Mohammed- CUF
  56. Mhe. Rukia Kassim Ahmed (CUF)
  57. Mhe. Mustapha Boay Akoonay (CHADEMA)
  58. Mhe. Abdalla Haji Ali (CUF)
  59. Mhe. Khatibu Said Ali (CUF)
  60. Mhe. Hamad Ali Hamad (CUF)
  61. Mhe. Riziki Omar Juma (CUF)
  62. Mhe Haji Khatibu Kai (CUF)
  63. Mhe. Anna Marystella John Malack - CHADEMA
  64. Mhe. Hamad Rashid Mohamed (CUF)
  65. Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed (CUF)
  66. Mhe. Thuwayba Idrissa Muhamed (CUF)
  67. Mhe. Masoud Abdallah Salum (CUF)
  68. Mhe. Muhamad Ibrahim Sanya (CUF)
  69. Mhe. Ali Khamis Seif (CUF)
  70. Mhe. Haroub Muhammed Shamis (CUF)
  71. Mhe. Amina Amour Nassoro (CUF)

Nawasilisha
 
umesahau kuwa aliyeanzisha mjadala wa kumpigia pinda no confidence ni lissu bungeni kabla zitto kuiendeleza,kwani zitto anatoka chama gani?roho inakuuma,unatamani kujiunga cdm ila unaona aibu kula mitapishi yako!
 
kaanza na CUF huyu atakuwa masalia ya CUF, kama siyo CCK. suala la msingi ni ujasiri wa kuanzisha majadala. ingawa sikuangalia vipindi vya bunge wakati yanaibuka, najua kuwa, aliyeanzisha kitu hii ni TUNDU LISU aliposhauriwenyekiti wa kamati zilizowasilisha uozo kuwasilisha hoja ya kupiga kura kutokuwa na imani ni waziri mkuu.

hayo mengine yakaendelea. lakini swala ni la kitaifa na kizalendo, bila kujali nani kalitoa, wote waliounga mkono ni majasiri na wana uchungu na nchi yao kama siyo yetu
 
wewe KIM KARDASH nashindwa kukuelewa kabisa kwa hiyo unataka kutuaminisha Zitto ni jeshi la mtu mmoja!?

Ushasema jeshi so ni wazi hakunaga jeshi la mtu mmoja lakini haimaanshi hii ni hoja ya chadema no,ni hoja ya wabunge kufuatia ripoti ya CAG ndio maana mnaona kuna sahihi mpaka ya mrema na cuf ambao hamuishi kuwatukana humu kwamba wameolewa na ccm kama mnavyompondaga zitto kwa kumuita kibaraka wa ccm,leo ndio huyo kashirikiana na wabunge wenzake kutoka vyama vyote
 
umesahau kuwa aliyeanzisha mjadala wa kumpigia pinda no confidence ni lissu bungeni kabla zitto kuiendeleza,kwani zitto anatoka chama gani?roho inakuuma,unatamani kujiunga cdm ila unaona aibu kula mitapishi yako!

unasahau kuna sahihi ya mrema na wana cuf wale mnaosemaga wameolewa na ccm hapo,msipende cheap poularity nyie,na hapo mngependa aanzishe mwingine huko cdm sio zitto maana kiukweli hamnaga mapenzi nae,hapa mnajichekesha kwake kinafiki tu
 
kaanza na hamad,huyu atakuwa masalia ya CUF, kama siyo CCK. suala la msingi ni ujasiri wa kuanzisha majadala. ingawa sikuangalia vipindi vya bunge wakati yanaibuka, najua kuwa, aliyeanzisha kitu hii ni TUNDU LISU aliposhauriwenyekiti wa kamati zilizowasilisha uozo kuwasilisha hoja ya kupiga kura kutokuwa na imani ni waziri mkuu.

hayo mengine yakaendelea. lakini swala ni la kitaifa na kizalendo, bila kujali nani kalitoa, wote waliounga mkono ni majasiri na wana uchungu na nchi yao kama siyo yetu

Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwenye
red; kwa upande wa CUF hawakuunga bali WALIUNGISHWA mkono kwa nguvu. Order ya kufanya hivyo hivyo ilitoka Makao Makuu na sio kwa dhati ya mioyo yao. Kimsingi wanafuata maelekezo kama watoto wadogo.
 

Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwenye
red; kwa upande wa CUF hawakuunga bali WALIUNGISHWA mkono kwa nguvu. Order ya kufanya hivyo hivyo ilitoka Makao Makuu na sio kwa dhati ya mioyo yao. Kimsingi wanafuata maelekezo kama watoto wadogo.

kwa hiyo ilitoka makao makuu ya chadema au,acheni kibri kura zenu hazitoshi kuiangusha serikali bungeni,hata kama mngependa hamuwezi fanikiwa bila msaada wa anagalau cuf,yani kwenye mipango yenu yeyote mtakayoiandaa dhidi ya govt kuomba msaada cuf hakukwepeki kwani peke yenu hamna meno,hamkupewa na wananchi wapiga kura
 
Jamani tusiharibu mshikamano wa wabunge. This is Unilateral Movement for Change. Ni vyama vyote tofauti baadaye. Nyumba moja kwa nini tupiganie tofari? Nawe uliyeweka uzi umekurukupuka. Unaparua donda linalopona! Sio ustaarabu. Control your hormone of jealousness.
 
hujui unalolisema, we pambana na hao majority wa ccm wanaolimaliza taifa.
 
Hata kama hoja ni ya makinda we dont care, hatuangalii rangi ya paka bt uwezo wake wa kukamata panya,,CCM wamesaini wangapi hapo mama???ingekuwa ni hoja ya bunge tungepata sahihi 245+,wale wa CCM waliokuwa wanatoka mapovu wako wapi???chezea na brain za vijana wewe,ukitoka povu tunakupa karatasi umwage sahihi,,,,,Kilango wapi?Ole Sendeka wapi???
 
Nashindwa kumwelewa mtoa mada kwanini anaendekeza siasa za vyama wakati tunajadili issue nyeti zinazohusu rasilimali zetu? Pesa zinazoibiwa ni za watanzania wote bila kujali vyama vyao, Tz tuna hasara kuwa na watu wasiothamini mali umma badala yake wanathamini vyama vyao na wamejaa wivu. Kwani hoja ikiwa imetolewa na mbunge wa chama chochote kwa maslahi ya taifa letu na chama hicho kikajivunia mbunge huyo hapo tatizo liko wapi? Labda wivu tu.
 
Bila kujali alieanzisha hoja ni nani awe Lissu au zitto ukweli ni kwamba wote ni zao la chadema na ni watanzania kwa ujumla na ni wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.....na umeona katika wabunge wote zaidi mia tatu ni wabunge 48 tu wa chadema ndio waonaokubebesha mzigo wa kodi kwa kuchukua posho ambayo ipo kisheria na iliyopitishwa na wabunge wa ccm walio wengi bungeni.?
 
Haujaeleza vyema ukaeleweka..
Hata hivyo,huwezi kujaribu kumtenganisha Zito na hoja zake na CHADEMA kama chama.
Kama ilivyo kweli pia kwa John Chiligati na CCM.
 
KIM KARDASH
user-online.png
Inakuuma siyo, zitto na lissu ni wetu unaleta thread za kutugombanisha siyo!! kwa taarifa yako hatumpondi zitto wala cuf Kama ilivyo kuwa matarajiyo yako umeula wa chuya wewe gamba. Nenda kaomboleze huko tunavyo iteketeza mijizi yenu na mitumbo iliyojaa kodi zetu wenzako ritz na rejao wako chini ya meza

 
kwa hiyo ilitoka makao makuu ya chadema au,acheni kibri kura zenu hazitoshi kuiangusha serikali bungeni,hata kama mngependa hamuwezi fanikiwa bila msaada wa anagalau cuf,yani kwenye mipango yenu yeyote mtakayoiandaa dhidi ya govt kuomba msaada cuf hakukwepeki kwani peke yenu hamna meno,hamkupewa na wananchi wapiga kura
Ni mapema sana kuonyeshana itikadi katika suala hili_nadhan wengi hawafaham kuwa hoja hii itakapopelekwa Bungen itahitaj kuungwa mkono kwa 50%_ivo utaona ni kiasi kikubwa cha wabunge watahitajika kuungana kwa pamoja desipite ya Vyama wanavyotoka, tukianza kuonyeshana ubabe na ujuaji ni wazi suala hili halitoungwa mkono kwa kiasi hicho. Nawasihi kuacha mwenendo huu kwasababu halitowasaidia ninyi wala Taifa.
 
Back
Top Bottom