Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

Simuoni hapa JF
Yulo wapi?
Mwenye taarifa ya huyu mtu, naziomba,
Kati ya Post zake 20 za mwisho, post 17 zilimhusu mtu fulani, na kati ya post zake 5 za mwisho kuzianzisha, post 3 zilimhusu mtu yule yule mmoja!.

Balozi Humphrey Polepole alikuwa akizungumzia issues mbalimbali, na aliendelea kuwepo, ila alipoanza kuzungumzia baadhi ya watu aliowaita wahuni, alipotea!

Inawezekana huyu member mwenzetu ni ameamua kutulia, au kuna jambo limemfika?

P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom