maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 653
- 1,395
Na huyu jamaa ulikuwa ukimuangalia point zake alikuwa anajilazimisha kusapoti utawala lakini moyo wake ulikuwa kwenye hakiGangilonga kuna ofisi ya Usalama wa Taifa. ZINDUKA!!
Na huyu jamaa ulikuwa ukimuangalia point zake alikuwa anajilazimisha kusapoti utawala lakini moyo wake ulikuwa kwenye hakiGangilonga kuna ofisi ya Usalama wa Taifa. ZINDUKA!!
Yule ni mzee, hivyo hana VPN.Simuoni hapa JF
Yulo wapi?
Huyu kweli nae hajaonekana mda sana humuMwingine ni erythrocyte.
Pamoja na FaizaFoxy, ChoiceVariable , Erythrocyte. Wote hawa ni mbumbumbu wa VPNTarehe 6 December, 2025 atakua amerudi maana JF itakua imefunguliwa rasmi... Jaji Mfawidhi nae kapotea tangu 6 September, 2025 JF ilipofungiwa hawajarudi tena
Mshana Jr kuna siku nilikueleza kuwa johnthebaptist ni fulani ukawa hujanielewa......... Nitakuja inbox nikukumbushe
Gone with wind?Mwingine ni erythrocyte.
Faiza fox ni chawa hata akipotea hana faida
Naijua by logical deduction/analysis, by necessary implication. But not confirmed!Sasa mzee baba unamtafuta mtu unayejua identity yake halisi...