Brother Evelyn Salt yuko wapi? Bring Back Evelyn Salt

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
8,585
Reaction score
21,949
Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?

Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.

Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.

Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?

Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.

Bring back Evelyn Salt.
 
kwani Extrovert sio mwanaune mwenzenu?, kwahiyo mlimkua mnampa yote😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom