Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

Nadhani sasa tushapata funzo kubwa sana Kama nchi tabia ya kuweka weka watu kisa tu kutimiza kanuni au huruma na kuwapa watu fulani kipaombele nadhani sasa itaishia hapa
Hii kanuni ilipowekwa watu wengi walikuwa wanadhani haitakaa itokee rais afariki au ashindwe kuendelea na madaraka wakati akiwa kwenye kiti, hivyo hapa umezungumzia jambo la ukweli kabisa. Vyama vyote wakati wa ucahaguzi mgombea mwenza amekuwa kama mtu wa kutimiza mashatri ya kikatiba tu. Ila kwangu mimi naona tatizo haswa lipo kwenye muungano wetu. Hili la kulazimisha rais akitokea bara basi mwenza lazima atoke visiwani ndilo tatizo. Ingekuwa vizuri mgombea mwenza akatokea upande wowote.
 
Nahisi kuna fundisho watakuwa wamelipata hao wanaochagua wagombea wenza, hili la sasa lililotokea itakuwa kama CASE STUDY.

Miaka mingi wagombea wenza walichukuliwa kama watu ambao majukumu yao yanaishia kwenye KERO ZA MUUNGANO na mambo ya MAZINGIRA tu na watu waliopoa(Shein,Gharibu,Ali Jumaa) sana.
Walifikiri rais aliye madarakani ni nguzo ya chuma kwamba ataishi milele hawakuwahi kuwaza kua Mungu anaweza kuchukua mja wake wakati wowote kisha huyu wa mazingira ndio atakaa kifalme pale juu.
 
Tutafika ila tukiwa kwenye hali mbaya kaka.

Ila sijajua takwa la kikatiba linasema kuchagua MIPOZA au?!

Kazi iendelee
Itakuwa ni hivo mana nadhani ili kujihakikisha ufalme kamili itabidi upate POOZA moja ili ufanye yako usipate changamoto ya kuhojiwa hojiwa mambo ya msingi.😂.
 
Walifikiri rais aliye madarakani ni nguzo ya chuma kwamba ataishi milele hawakuwahi kuwaza kua Mungu anaweza kuchukua mja wake wakati wowote kisha huyu wa mazingira ndio atakaa kifalme pale juu.
Kabisa mkuu.

Kazi iendelee.
 
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?

Mama yeye binafsi kama yeye hana roho kikatili wana ulevi wa madaraka, lakini hajafanya kinachotakiwa, bila kubadili mifumo ya utawala hasa katiba, ni rahisi kuja kutawaliwa na rais mwingine muovu na dhalimu huko mbeleni. Ifahamike ccm ni chama cha kizazi kilichopita, hivyo kwa sasa hakina ushawishi mkubwa tena, kwahiyo inabidi kitumie mabavu kubaki madarakani kwa shuruti. Katika mazingira ya katiba hii outdated, ni rahisi sana kwa rais muovu kupractice uovu kama aliyepita kwani hata madarakani atajikuta anaingia kwa hila.
 
Sawa ngoja tuhifadhi haya maoni yatatufaa kwa matumizi huko baadae mkuu.
 
Nchi haiwezi kuongozwa na kamati mkuu, lazima kuwe na central authority.
Kukiwa na kamati, maana yake ni kuwa mwenyekiti hana uamauzi wa mwisho ingawa ndiye kiongozi. Lazima kuwa na concesus ya kamati ka metric fulani, ama majority su supermajority ya members wakubaliane, halafu mwnyekiti ndiye anatangaza na kusimamia utekelezaji maamuzi hayo. Hii ni muhimu kwa sababu rais wa nchi yetu ana power kubwa sana
 
Je committee ikishindwa kufikia consensus inakuwaje ?

Je hiyo kamati itakuwa inapatikanaje ?
 
Back
Top Bottom