Watu wanashinda sehemu mbalimbali pia mkuu na kutoka emptyMbona watu hushinda kwenda kwa waganga,si uchawi huo mkuu?
Binti aliyejipata Sasa anawashwa.Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
🤣🤣Kiufupi wanaogopa tutabadilisha usiku kuwa mchana...muda wao wa kutukaba tupo busy kuosha vyombo🤒Siku hao unaowaita wachawi wakiamua kusema ukweli wao hadharani inawezekana ikawa ndio kifo Cha hizo imani zinazoaminiwa na wengi.
Kwasababu mtajua jinsi gani hizo imani ni project zao za kuwazubaisha, au jinsi gani hazina uzito dhidi yao, yaani zipo chini kiujuzi.
Wakisema mtanasuka kwenye mtego wao.
Haujanielewa.🤣🤣Kiufupi wanaogopa tutabadilisha usiku kuwa mchana...muda wao wa kutukaba tupo busy kuosha vyombo🤒
🤣🤣🤣Wee,sema kweli?Hao ni wanga wanaowaminya minya...ni sawa na kusema vibaka wanavyo wasumbua usiku...na maharamia wanavyowaimbisha mtaji wa masikini maporini huko,yaani ni TASNIA KAMA.TASNIA NYINGINE...WACHAWI TUPO,SEMA ULIKUWA UNATAKA NINI?👹
Naam, uchawi ungekua na nguvu ukoloni usingetoboa🤣🤣🤭Wanachinja mpaka watoto afu wanatoka empty aisee
HahahaNgoja wakutegue hiyo nyongo ushindwe kuzipiga nyapu... ndiyo kichwa ikukae sawa🤣🤣