Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,035
- 26,706
Ndiyo ndiyo issue inakuja Ikiwa anataka akumalize,,Kumbe
Ila me nikishajua wewe mchawi, nakaa hatua mia
Ndiyo ndiyo issue inakuja Ikiwa anataka akumalize,,Kumbe
Ooh jambo la khery mkuuNipo kamili gado
Mkuu ni Mungu anakupenda sana ila uchawi upo sema usiuendekeze sasa.Kitu watu wasichokijua ni kuwa ukiamini sana kitu , ubongo unao uwezo wa kukuletea mauza uza ,ukaona kama ni kitu halisi, hasa unapojenga hofu.
Nikiwa nasoma tulikua tunakatisha usiku makaburini kwenda kucheki mpira , mkiwa wachache na wenye hofu kubwa , ubongo ulikua unatuliletea mauza uza ya ajabu, ila ukiwa jasiri au wengi hiyo hali haitokei.
Kwahiyo mkuu hawa wanaoenda kwa waganga ili kumroga mtu kumtia stroke, uchizi au kumuuwa kabisa huwa inakuaje sasa ni kwamba hakuna kinachotokea au mganga anafanya mazingaombwe gani?Hamna kitu kinaitwa uchawi duniani labda mazingahombwe
Hapo umethibitisha kwamba hakuna uchawi duniani au hakuna uchawi wa chuma ulete au umethibitisha huyo mbaba sio chuma ulete?Nakubaliana na wewe hakuna cha uchawi wala nini,kuna Mbaba anajulikana ni chuma ulete,siku kaja dukani nikachukua hela kiasi nikazihesabu nikazitenga alivyonipa hela Yake nikachanganya na zile nilizohesabu,mwenyewe mbwembwe kibao,nikamrudishia chenji hataki nimpe mkononi anataka niweke juu ya meza ndo achukue🤓🤓🤓🤓🤓
Nikasema Acha nishuhudie maajabu Kesho hela ziyeyuke🤓🤓🤓🤓 Kesho Yake nafungua hela zipo vilevile na Yake ipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni ujinga ujinga tuLaiti uchawi ungekuwepo Lissu asingekua gerezani saa hizi dearest.
Tusadie mkuu mganga anatapeli vp mtu pale anapomjia mteja anayetaka kumroga mtu mwengine?Wachawi,waganga,manabii WA miujiza wote hao matapeli tupu!!
Naunga mkonoTupo
KabisaNi ujinga ujinga tu
Unaweza thibitisha kuwa mtu kauliwa na uchawi au kapewa stroke?Kwahiyo mkuu hawa wanaoenda kwa waganga ili kumroga mtu kumtia stroke, uchizi au kumuuwa kabisa huwa inakuaje sasa ni kwamba hakuna kinachotokea au mganga anafanya mazingaombwe gani?
Achana na hayo utajua logwa usiamke ohooo 😂😩😂Mchawi haogopwi...mchawi mface mkuu