Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Ukisha jenga imani ya kitu ukaweka na hofu ndio umekwisha, nakumbuka kipindi cha nyuma nilisha fanya jaribio moja la kutamka yesu yesu yesu kwa mda kama wa masaa matatu nikaona napaa mawinguni kumbe ni fix za ubongo tu.
Mkuu mbali na imani za uchawi, kwa kutumia hizo fix za ubongo mtu anaweza kutibu hadi maradhi au kujitia maradhi. Kwahiyo imani sio kitu cha kudharau, nadhani unajua kuhusu placebo effect na Nocebo effect.
 
Urogwe una nini? Wachawi huwa hawarogi makapuku
Unaona sasa jinsi Bantu logic ilivyo! 🤣

Huko vijijini ambako hizo imani zimejikita ndo kumejaa makapuku na ‘wanarogana’ kila siku.

Sawa, relatively speaking, mimi ni kapuku.

Lakini nina uhakika niko well of kuliko 90% ya wabongo wote!
 
Back
Top Bottom