Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Nasikia upo mkuu,huoni wabunge wanashinda kwa waganga wa kienyeji
Kuna sehemu moja Huwa nikitoka mihangaikoni Huwa napitiaga kunywa kinywajii changamshii 😊

Sasa Kuna brother mmoja nilikutana nae pale yule jamaa ana nyota ya kupendwa sana na watu pale kwenye viunga vya Hilo chimbo.

Jamaa ananisimulia issue ya DAWA INAITWA NGEKEWA ""KWA KWERIIIII JAMAA ATAKUA NA DAWA WATU WANAMPENDA NA WANAMKUBARI SANAAAAAA

AISEEEE UCHAWI WA NDERE NA NGEKEWA UPO SANA KUNA WATU WANA IYO NYOTA YA NGEKEWA
 
Kweli aisee, binafsi nikishamuona mtu ana chuki iliyopitiliza namuona kabisa huyu ni mchawi na ninapaswa kumuepuka(sio kumchukia).
Ila siamini katika kazi zao maana ni jambo linalocheza na fikra tu ukilikubali inakuwa kweli na ukilikataa hakuna kinachotokea.

Mfano: Chukulia mtu anakuchukia kweli kweli na anakusambazia taarifa za uongo kwa watu ili akuchafue, sasa athari utazozipata kutokana na jambo hilo itategemea na namna utavyolipokea hilo jambo haijalishi watu watavyokupokea wewe.

“Anachowaza ndicho unachokuwa”.
Inasikitisha sana mkuu...kaa mbali na mtu anayeonesha Hana furaha nawe....hawachelewi kukuangamiza
 
Waasisi wa ukristo, wayahudi na wazungu wanaamini uchawi upo lakini walopokea mapokeo wanasema hamna.

Buddha na Hindu, taoism nk wanaamini uchawi upo lakini wayahudi wa uyole wanasema hamna

Hii dunia inashangaza wakati muda wote wanajazana Kwa tapeli mwamposa kuombewa na kufunguliwa vifungo vya kichawi

Nimeamini hakuna mahali sisi ngozi ya tako tumewai kua serious hata siku Moja

Babu na bibi zenu wote wachawi na wanaogopeka huko vijijini hapa mnaleta unafiki wenu wa kiafrika
 
Kuna sehemu moja Huwa nikitoka mihangaikoni Huwa napitiaga kunywa kinywajii changamshii 😊

Sasa Kuna brother mmoja nilikutana nae pale yule jamaa ana nyota ya kupendwa sana na watu pale kwenye viunga vya Hilo chimbo.

Jamaa ananisimulia issue ya DAWA INAITWA NGEKEWA ""KWA KWERIIIII JAMAA ATAKUA NA DAWA WATU WANAMPENDA NA WANAMKUBARI SANAAAAAA

AISEEEE UCHAWI WA NDERE NA NGEKEWA UPO SANA KUNA WATU WANA IYO NYOTA YA NGEKEWA
🤣🤣🤣 Ngoja aone min -me akunyonge....hataki kusikia mambo haya kabisa
 
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Unataka kuwa mchawi nini mkuu ?
 
Waasisi wa ukristo, wayahudi na wazungu wanaamini uchawi upo lakini walopokea mapokeo wanasema hamna.

Buddha na Hindu, taoism nk wanaamini uchawi upo lakini wayahudi wa uyole wanasema hamna

Hii dunia inashangaza wakati muda wote wanajazana Kwa tapeli mwamposa kuombewa na kifunguliwa vifungo vya kichawi

Nimeamini hakuna mahali sisi ngozi ya tako hatujawai kua serious hata siku Moja

Babu na bibi zenu wote wachawi na wanaogopeka huko vijijini hapa mnaleta unafiki wenu wa kiafrika
🤣🤣🤣Ni kama unnikaripia,au nimesoma vibaya mkuu?!!
 
Kweli aisee, binafsi nikishamuona mtu ana chuki iliyopitiliza namuona kabisa huyu ni mchawi na ninapaswa kumuepuka(sio kumchukia).
Ila siamini katika kazi zao maana ni jambo linalocheza na fikra tu ukilikubali inakuwa kweli na ukilikataa hakuna kinachotokea.

Mfano: Chukulia mtu anakuchukia kweli kweli na anakusambazia taarifa za uongo kwa watu ili akuchafue, sasa athari utazozipata kutokana na jambo hilo itategemea na namna utavyolipokea hilo jambo haijalishi watu watavyokupokea wewe.

“Anachowaza ndicho unachokuwa”.
Umenikumbusha wahenga walisema chuki usiifiche kwenye mashavuu ifiche moyoni.

Ogopa MTU mwenye kuficha chuki moyonii..

Nahisi Kuna TOFAUTI ya CHUKI NA WIVUU

OGOPA MTU MWENYE CHUKII NA AKAJAA WIVUU (WANAWAKE WENGI WANA BOTH CHUKI + WIVUU)
 
🤣🤣🤣Mnatuonea mpaka dhambi🙌
 
🤣🤣🤣 Ngoja aone min -me akunyonge....hataki kusikia mambo haya kabisa
Yule jamaa alisema anipe dawa atanichanja kwenye paji la uso binafsi Mimi naogopaga sanaa mambo ya kujiingiza kwenye Dunia ya waganga na UCHAWI ndio maana Mimi huwaga naishii kama sipoo
 
Mkristo mkuu
Sasa kama mkristo msingi wa imani yako inaamini uchawi upo kwahyo mm mtu akisema haamini uchawi halaf animbie yeye mkristo namuona kama taahira anaehitaji tiba ya haraka, lakini ww haumo kwenye kundi hilo
 
Back
Top Bottom