Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Uchawi upo sana tuu,,

Wengine hawakumbwi na uchawi kutokana na familia zao walizotoka

NATAFUTA SHEKHE ANITOE UCHAWI NA MAJINI KWA HAPA DAR ES SALAAM!!!!!!

UDUGU WANGU Poor Brain
Na poor ubongo kuthibitisha kuwa yeye ni mwanga hatari 🤔🤦 imenipa uchungu sana,hivi ukimpea mchawi papuchi inafanyaje?
 
Back
Top Bottom