Tayari usharogwa nikiongeza utapoteaNaomba uniroge
Wewe unawezaje kujua kama umerogwa au haujarogwa? Hebu toa hiyo elimu ya kuweza kujua kuwa haujarogwa, kwa sababu hatutegemei mtu aote mapembe au mkia ndio tuseme karogwa sasa wewe unajuaje kuwa haujarogwa?Uchawi ni Imani,matokeo Yake yanampata anaye Amini na si vinginevyo! Wewe unayeamini uchawi upo utarogwa na utarogeka,Mimi siamini katika uchawi!!
hujakutana naouchawi ni utapeli wa kimaskini
Nipoteze walahi 😎Tayari usharogwa nikiongeza utapotea
😀😀Dah!Urogwe Mara ya pili? Si utatuua sasa!
Toka kwanza hapo kwa shemeji yakoNipoteze walahi 😎
Enzo ake ananifurahisha mambo yake😂🤣🤣🤣Tunapiga kichwa tu dadeki🤒
Nimeona na comment ya Ephen
Placebo effect , haitibu maradhi bali huathiri dalili za mtu anavyojisikia , kupitia kemikali zinazozalishwa mwilini.Mkuu mbali na imani za uchawi, kwa kutumia hizo fix za ubongo mtu anaweza kutibu hadi maradhi au kujitia maradhi. Kwahiyo imani sio kitu cha kudharau, nadhani unajua kuhusu placebo effect na Nocebo effect.
Nitakula wapi jamani 😃 😀Toka kwanza hapo kwa shemeji yako
Ndio eleza sasa inakuje? Mfano mie ninataka kumtia uchizi mgombea mwenzangu kwenye uchaguzi ili nibaki mwenyewe bila mpinzani, naenda kwa mganga ili nimroge huyo mpinzani awe chizi je nini mganga hufanya kuniaminisha kuwa kweli huyo mpinzani wangu kawa chizi?Kinachofanyika ni ujanja ujanja Tu mkuu,weka Imani pembeni ufanye utafiti utaona!!
Kua mwerevua! Sio kweliSitokuja kumsahau aisee🙌
Wewe ni mhaya kweli?Nitakula wapi jamani 😃 😀
🤣🤣Walitaka wakupuru mkuu,sema nawe unanguvu za mababu aisee...walishindwaKuna kijiji niliishi usiku unasikia hatua za watu wanatembea juu ya bati tena kwa madoido. Kuona vichaka vinawaka moto mkubwa halafu unakuwa kama unatembea asubuhi ukienda kuangalia hakuna hata tone la jivu
Exactly 💯 wa bukoba Mimi 😎Wewe ni mhaya kweli?