Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
- #221
Niwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Tupe tupeeeeNiwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Mkuu una hasira sana, why?Sehemu gani nimekutukana? inaonekana hata ujielewi wewe. Unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe? ungepeleka hiyo topiki FB kwa marafiki zako basi
Afu namuonaga mtu fulan..ana heshima zake..khaa🙌Mkuu una hasira sana, why?
Safi sana dada, mkomeshe huyo bwegeNo Sina mpango wa kuua,namrudisha nilipomkuta,akiwa Hana hata mia
Chozi la mwanamke baya sana ...Safi sana dada, mkomeshe huyo bwege
Unazira vipi kusomesha mtoto wako ndugu? Hata kama dada ana matatizo wajibika kwa mtoto wako. Usimpe hela bali kalipe Ada mwenyewe.Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Kilinge kitaongea Kama Nina wivu naye ama Sina,toka nikiwa vizuri alikuwa hatoi ushirikiano kumlea huyu mtoto,nikaona fresh nikakomaa mwenyewe,kilichoniuma kwenda kumloga mwanangu,na kutaka kumkil kabisa,halafu nikae kimya tu,wakati natoka katavi?hapanaHii yote sidhani kama ni ubaya wa huyo mzazi mwenzie bali ni maisha kumchapa akachapika vilivyo huyu dada yetu.
Pole sana mkuu ila komaa pesa inatafutwa utapata tu na utamsahau kama ulivyomsahau hapo mwanzo ulivokua na vijisent kabla ya kusimamishwa kazi.
Lakini pia hiyo ishu ya kusema ulimsimamisha sijui ulimkuta hana kitu ukamuwezesha sawaaaa lakinii nae pia ana akili ya maisha ndio maana mpaka leo unaona kampuni yake inakua.
Kwahiyo usione wivu kwa mzazi mwenzio kufanikiwa.
Kama uliamua kumove on we endelea na maisha yako labda huko kumsumbua sumbua kuhusu pesa za mtoto ndio maana wanataka kufanya hayo ya kumdhuru mwanao.
Haya utaenda uko katavi vipi ukishindwa kufanikiwa na wao wakaanzisha vita wakafanaikiwa lengo lao?? Utakua umefaidika nini??
Acha kumtafuta umlee mwanao ishi maisha unayoweza kama izo english medium zinakutesa tu kama kipato chako ni kidogo izi shule za serikali zinatosha kabisa na pia kuna shule za serikali za mitaala ya kiingereza pia ada yake ni ndogo unaweza mpeleka huko pia
Angekuwa ni mwanaume mwenzao ungeona jinsi wanavyomsapoti, pambav sana hawa viumbe. Dada afanye analotaka ili moyo wake uridhike..kama ni kumroga amroge tu kwa kweli maana hakuna namna nyingine.Mkuu kwani hakuna wanaume wanaowasaidia wanawake halafu Mwisho wa siku wanawaambia maneno kama hayo
Acha mtu arogwe weweHv haya huwa kweli jamani?...hizi nguvu mdogo wangu ungewekeza kwenye utafutaji ..unaweza roga ukasubiri miaka dahari huoni akitetereka...
All the best
Utuletee feedback tafadhali. Am curiousSawa Hana umentali huo,muda utajibu tu
Kuna wadada wana vurugu aisee acha tu unaweza hata kumtelekeza mtoto ili uwe na amani haswa unapokuwa umeoaUnazira vipi kusomesha mtoto wako ndugu? Hata kama dada ana matatizo wajibika kwa mtoto wako. Usimpe hela bali kalipe Ada mwenyewe.
Sina hasira wala niniMkuu una hasira sana, why?
Nasubiri feedback tu mie hapaAcha mtu arogwe wewe
Naomba nikitumia na Mimi mtu...jina lake umroge kwa niaba yangu....Khakh unahisi masijala?soon ataanza kuomba jero kwa watu na kugongea konyagi![]()
I love youI think we're missing a point here.
Watu wanasema kumsaidia mwanaume si kigezo cha kumfanya akupende, swali ni je mwanamke ndio aliemtongoza mwanaume?? Kama jibu ni hapana then kwenye swala la upendo mwanaume ndo mwenye kosa kwa kuanzisha mahusiano pasipo kua na nia ya kumpenda Kipepeo wa chuma1
Swala la pili ni kwamba majukumu ya malezi ni ya wazazi wote wa2 haijalishi mmetengana au bado ni mume na mke, kama ni hivyo kwanini huyu mwanaume hatekelezi majukumu yake kama mwanaume regardless mapungufu ya mdada??? Kafeli mara ya 2
Swala la mwisho Kipepeo wa chuma1 kaenda kudai haki ya mtoto na si yake, then kwanini huyu jamaa ageuze kibao amuhusishe mkewe hadi kufikia hatua ya kutaka kumuua mtoto wa mwanamke mwenzie???
Ninachokiona si dada kuumizwa na mafanikio ya mwanaume bali ni ile hali ya kukataa kumuhudumia mtoto hadi kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa mtt na ndicho hasa kinachomfanya huyu mwanamama kuchukua maamuzi magumu
Ifike mahali kama wanaume tuthamini hizi machine zenu hasa kizazi chetu kama huna plan za kuoa wala huna uwezo wa kulea hakikisha haumwagi ndan and if you do so, jiandae kuface responsibilities na sio bla bla
Tupe update...radi imeshuka upande gani...Niwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Shusha mambo dadaNiwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Mwanangu wa kwanza akawa anadaiwa ada,kwa mwaka ni Kama 1.5mil,nikawa na laki tatu,nikalipa nikamwambia baba mzazi atume laki 4,tulipie term ya kwanza,akanijibu atalipa.Akaniomba akaunti ya shule nikampa,ikapita mwezi hajalipa,mind you Ana kampuni ,anapata pesa,na kampuni yenyewe nilishiriki kumsaidia kuanzia kifungua,kumpa ideas na kupush projects zake.Basi shuleni wakagoma kumpokea mwanangu.Nikampeleka shule ya mtaani ambayo nilikuwa nalipia elfu 20 kwa mwezi,ili asikae bure nyumbani.
Baada ya mwaka kuisha Mungu si athumani nikapambana nikapata visenti,nikamlipia mwanangu shule ile ya mwanzo ya English medium,nikalipa nusu muhula akaanza shule,naye alipoona akasema usihofu ada iliyobaki nitalipa,nikamjibu ok,Ila nolijua no story tu manake ni mwongo,huwa anaongea Ila hatekelezi.Cha ajabu sijawahi ongea naye lolote zaidi ya ada ya shule ya mwanangu.
Nitakuja elezea vimbwanga vya mkewe alivyomfanyia mwanangu,ilhali hamjui,sijawahi hata kuwa karibu naye Wala mumewe,Wala kujihusisha na familia yake kwa lolote,inasikitisha Sana Ila inshallah yatakwisha.
Mrudishe chini zaidi kidoooogo!!No nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudisha![]()
Kakasirika vibaya mno itakuwa nae ndo wale wanaotakiwa kurogwaAfu namuonaga mtu fulan..ana heshima zake..khaa![]()