Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Ndo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .

Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .

Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo

Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile

Dada Fanya hivi

Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .

HERI WAPATANISHI. Nimesema ivi siku ile ni moja kwa moja peponi. Most fine advice and cross check.
 
Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Unaporudi katavi nipitie hapa namanyere🤭
 
Now kipepeo, breathe! Breathe Beaut IN, nasty OUT!
If you say so about kumtoa /kumu guide to success/finding some legs uyo jamaa... God made you his Angel okay... dont take too much credit ndo maana inakuuma jamani. If he decided to ditch you sweetheart just move on... fate will decide. Dont think to revenge okay?! Kwanza umebarikiwa unajiweza so why uanze kuwaza so rotten hivyo??? Be careful cause if you decide to resent/ revenge ukute na yeye kashajipanga to give you a taste of your own medicine apo ndo sisi tunaokupenda tunakua concerned sana coz it may move from bad to the worst.
You are brave, beautiful and blessed. Continue to be a blessing and make this world a better place to everyone dont wish to be a Jezebel/Satan to no one.
We loke you. Most important your kids and this current mchumba loves you. That should suffice. Why be bothered by this other dude you think is a bastard😊
 
Ila kweli mahusiano yanataka mmoja awe mjinga...hiyo para ya mwisho mm siwez kbs jaman dah hapana jaman ndo maana natafuta hela zangu by hooks n crooks .chaaa, unenitelekeza then nikunyenyekekee..jaman Mbingu nitaiskiaga tu
Fanya hivyo utaona matunda yake ,usiwe mbabe na hela utapata lakin zisikupe kiburi kwenye suala la mapenzi
 
Shida iko wapi we singo maza? Simple tu ulikuwa unadhani kipato chako ndio mapenzi. Mapenzi sio pesa pale aliposita tu ulitakiwa ujiongeze. Hakuna mwanaume anayetegemea mwanamke amwongoze kwenye maisha wewe ulidhani kipato chako kitakufanya upendwe, ulikosea hapo

TULIA ULEE MTOTO AKITOKEA WAKUTOKEA FUNGA NAE NDOA
Kwanini huyo mwanaume asingekataa Kusaidiwa tangu hapo mwanzo
 
Naudhikaga na hiz swag zenu...eti nijishushe why ww usijishushe kwangu na nimekuzalia mtoto? Why haya uloandkka usigeuze ukamshauri huyo kaka? Ah mm hapana...pita hv
Shida yako mkorofiii unaonekana,jamaa ukute muelewa sanaa ilaa ww mbabeee sanaaa, ukishakuwa mwanamke mwanaharakati matokeo yake ndo haya unaachwa na pesa zako,uzuri wako na tako lako kubwaaa ,anatafutwa mwenye hana pesa ,hana uzuri ,hana tako ilaa anajua kuwa mke manaake nini
 
Kweli mapenzi,mahusiano na ukaribu Kati yangu Mimi naye ikaisha.Nikawa bize kumlea mwanangu kwa neema za Mungu.Miaka imekatika Hadi leo ni mwaka wa nne.Nilimove on completely.Changamoto za maisha huwa zipo tu,nikaja nikasimamishwa kazi kupisha uchunguzi,nikakaa nyumbani mwaka mzima,nikiwa nalea mtoto wangu wa pili kwa huyu mwanaume niliye naye Sasa.Hali ya kiuchumi ikabadilika Sana,marafiki wakatoweka,nikauza assets zangu kibao ili kusurvive.

Kwakuwa sikuwa na kosa nikarudishwa kazini Ila nikiwa nimeporomoka Sana kiuchumi.Kazini nako nikarudi upinzani ukawa mwingi manake walishanilebo vibaya.Wateja wakawa washanisahau,waliobaki ofisini wakawa wamechukua nafasi yangu,basi ikawa full tafrani.Sijakaa vizuri nikahamishiwa mbali huko mpakani na nchi jirani.Kiuchumi nilikuwa Hali tete,nikaona Bora nimchek baba wa mwanangu atoe sapoti kwa mwanae shule,e bwana eeh alichonijibu na kufanya yeye na mkewe,ndicho kimefanya nilete mkasa huu.
Daah kumbe ndiyo wewe? Karibu tena!
 
Naudhikaga na hiz swag zenu...eti nijishushe why ww usijishushe kwangu na nimekuzalia mtoto? Why haya uloandkka usigeuze ukamshauri huyo kaka? Ah mm hapana...pita hv

Aah baby dont put it zat way. Imeandikwa mjishushe kwa waume zenu eti... asa mbona unampa kiburi tena...
Kipepeo,
Nipo confused kidogo
Story ulivyoiweka mazingira yake yapo kama wewe ndo unaishi na mtoto if so uyo 'kahaba' alimufikiaje adi aka mmistread/abuse?

Can you please be specific wamemfanyaje 'mwanao' hao
 
Shida yako mkorofiii unaonekana,jamaa ukute muelewa sanaa ilaa ww mbabeee sanaaa, ukishakuwa mwanamke mwanaharakati matokeo yake ndo haya unaachwa na pesa zako,uzuri wako na tako lako kubwaaa ,anatafutwa mwenye hana pesa ,hana uzuri ,hana tako ilaa anajua kuwa mke manaake nini

Chama letu ma-men... limepata bonge la spokesman against wanawake wakorofiii😁😅🤩
 
Learn to forget and move on with your life. Unasikia uchungu kwa material things? Vipi watu wanaosomesha mtu na akimaliza anamwagwa na maisha yanaendelea? Jamaa ameamua kukutosa wewe na mwanae, hapo kuna maawili mshitaki au lah achana nae assume kama amekufa
Yaani we Jamaa comments zako ni kama vile huyo mwanaume kutelekeza mwanamke na mtoto kafanya sawa
 
Ujumbe wangu kwako waache hao jamaa (mzazi mwenzio na mkewe) waendelee na maisha yao. Wewe pambana na hali yako na mwanao. Unajikosesha amani bure wenzako wana-enjoy maisha yao. Huyo mtu hukupangiwa awe wako usilazimishe
Ila ingekuwa ndiyo tumesikia mwanaume kasomesha mpenzi wake halafu baada ya kufanikiwa huyo mpenzi wake akamuacha bila shaka ungeshauri huyo mwanaume afanye chochote kibaya kwa huyo mpenzi wake
 
Hamna kitu kama hicho. Wivu ndio tatizo lako kuu. Na elewa hata ukimuua huyo jamaa haitakusaidia kwa lolote zaidi ya kukuongezea msongo wa mawazo maradufu.

Halafu mlipa kisasi ni Mungu tu wewe utajisumbua kwa wazee wako na utachanjwa mpk ulimi ila Mungu akisema No ni No
Unafikiri Mungu ndiyo anauendekeza huo ujinga wa kuzalisha mwanamke kisha unatelekeza mtoto
 
Usiombe mwanamke akutoe kimaisha afu umuache ,yaan matusi kama nimekukuta pu.....m..bu tupo ,unanuka kikwapa ,sijui hujui kuvaaa ,sijui umepauka n.k yatakuwa kama salamu kwako .na ukiwazaaa unaona ni kweliii kaniokota nilikuwa nimechokaaa basi unaumiaaaa balaa na kukosa amani
Mkuu kwani hakuna wanaume wanaowasaidia wanawake halafu Mwisho wa siku wanawaambia maneno kama hayo
 
Back
Top Bottom