Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
- #121
Sawa Hana umentali huo,muda utajibu tuBendera chuma , mlingoti chuma uchawi hauendi kwa mentali 😂😂
Sawa Hana umentali huo,muda utajibu tuBendera chuma , mlingoti chuma uchawi hauendi kwa mentali 😂😂
Kwahiyo umemroga kijana wa watu;??Matusi ya Nini asubuhi hii?btw Nina mpenzi tayari,kitambo tu,nimeamua kutoa historia yangu tu na kisa hakijaisha,manake yajayo yanafurahisha.
Hapo kwenye kwenda bagamoyo kwaajili ya kulia nimecheka sanaUshauri wangu, achana kabisa na kujishughulisha na huyo jamaa na wala usiwasiliane nae kwa lolote. Hakuna kitu kibaya kama una mwanaume akasikia unawasiliana na mzazi mwenzako sijui kwa ajili ya ada au kwa lolote lile. Mtu anaweza kukaa kimya tu ila inamuuma sana moyoni kuliko hata kuchomwa na kisu.
Ni bora mkubaliane na uliye nae mkagharamia gharama zote za matunzo na ada za mtoto, otherwise hata kama mtu wako wa sasa akiwa kimya elewa kuwa analia moyoni kila akisikia unadai ada au mawasiliano yoyote yale
Wanaume tuko tofauti sana na uwa tuna fake sana machoni ila moyoni tunaumia mno. Binafsi mie nimeanzisha utaratibu rasmi wa kwenda Bagamoyo ufukweni kulia peke yangu mtu akinizingua ile mizunguzi mikubwa. Nafanya hivyo ili nisije kuumwa pressure au sukari kwa kupambana na mazito ya moyoni
Nadhani hapa nimekushauri vizuri.
Kingine achana na visasi yameshatokea hayo jaribu kuwa muungwana na uendelee na maisha yako usirudi nyuma sijui nitakachomfanyia mpk ndugu zake watakusanyika hayo maneno yana ku-define vibaya mbele ya wasomaji na unaonekana umeshindwa ku-move on bila huyo mtu na ndio maana umekuja mpk na hii topiki
Tulia kaa chini panga maisha yako yaliyotokea yametokea, mwisho wa siku hata huyo mwanaume uliyompata utakuwa unamboa na hayo machuki na mavisasi uliyonayo







Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.



unataka kwenda kumpiga mtu radi Hapa shetani kakaa pembeni na Pepsi big anataka kujifunza kitu kutoka katavi


Wewe umejuaje kuwa wanataka kumdhuru mwanao unaweza kutupa baadhi ya ushahidi ili tuamini hicho unacho kiamini isije kuwa unahisi tuImagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika![]()
NaamHalafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili

UtakomaYani mwanamke akikusaidia kimaisha ni shida kuliko shida zenyewe

Wapo wengi mno hata hapa jf tunasoma thread zao.Mkuu kwani hakuna wanaume wanaowasaidia wanawake halafu Mwisho wa siku wanawaambia maneno kama hayo
Ongea kiswahil ww ili tukueleweSometimes.we think helping a man reach his dreams will.make.men love us more...
You just can't buy love
Tena radi ya buku 5 tu hahahahunataka kwenda kumpiga mtu radi
Aisee Mapenzi yatakuja kuwaua siku 1
Kijana?kwani mie mzee?nilikuwa bize nafanya yangu nakumlea mwanangu,anakuja na libibi kizee lake kutaka kumdhuru mwanangu afu nimuache? thubutuuu,mfipa anakupiga ukimgusa tuKwahiyo umemroga kijana wa watu;??
Hapana huyu lazima apigwe,ada nilishalipa nusu ,panapo majaliwa namalizia,saivi sitaki hela yake,nataka arudi zero nolipomtoaHiyo pesa unayompa sangoma aroge bora ungewekeza au umlipie mtoto ada huyo mwanaume umuache karma ishughulike nae.
Humu duniani maudhi ni mengi mno utaroga wangapi!!
Sijahisi ni kweli,that's y nimekasirikaWewe umejuaje kuwa wanataka kumdhuru mwanao unaweza kutupa baadhi ya ushahidi ili tuamini hicho unacho kiamini isije kuwa unahisi tu