Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
- #201
Siwezi lala takataka Hilo,Hana maajabu🤣
Kweli kwa mfano akikupa matunzo yote ya mtoto na kukupa mtaji je akiomba penz unaweza kumuwekea ngum au ukalegea? Maana Wewe Jambo linalo kukosesha Aman na usingizi ni matatizo ya mtoto kukosa huduma ina baba mzaz akiweza kucheza na akili yako lazma utarudiana kisili tu
