Juzi nimetoka kuandika historia yenye maajabu katika safari ya maisha yangu

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Mtanivumilia kwenye uandishi, twende pamoja.

Kuna kipindi 2020 mwishoni mwa mwaka niipata dharula ya kwenda Singida kutoka kwangu Geita, nikapitia Mwanza nikapanda basi, siti niliyokaa alikuja dada mzuri mwenye umbo la kiasili kabisa, aisee kaumbika haswaa. Tukakaa naye bwana.

Tuliondoka lakini safari yake ilikuwa inaishia Shinyanga. Nilikua na nia ya kupiga stori naye lakni mawasiliano ya yule dada kwenye simu yake yalikua hayakatiki, hakua sawa. Alikua akitukanwa kwenye simu, iliskika sauti ya kike ilipelekea aghairishe safari njiani. Sjui alikua akigombezwa nini.

Tulipoivuka Misungwi akaomba ashuke aghairishe safari, hapo mimi sijaongea naye tofauti na kumuuliza anakoenda. Moyo uliniuma nikashidwa namna ya kumuomba namba za simu, lakini nikakumbuka kitu kwenye waleti yangu.

Kuna mbinu inayonisaidia siku zote kwenye hali za namna hii kama nipo mazingira yasiyo rafiki, nilisha katakata vipande vya karatasi nakuviandika namba za simu yangu na kwenye waleti yangu hua havipungui ishirini.

Nikakumbuka nikazama kwenye waleti harakaharaka, nikachomoa kimoja haraka, nikamshikishia mkononi. Yaani sijui huwa kuna nini hata huwa hawakatai, nikaona mkono anaukunja, akateremshwa pale.

Nikabaki kutegemea akinipigia napata namba yake. Siku nenda rudi, miezi miwili ilipita ndiyo akanitafuta. Aisee, tulicheka sana, mawasiliano ya urafiki yakaanzia hapo na alinieleza wazi yeye anaishi mkoa wa Kagera.

Sasa juzijuzi nilipata taarfa za msiba huko Kagera, nikamjulisha ujio wangu huko akaniambia amekumbuka kuniona. Miaka miwili imepita hivyo nikifika Runazi (kwao) nimjulishe aje anione stendi. Nilikuwa na rafiki yangu, bahati mbaya tulifika stendi usiku. Nikampigia simu akaniambia tuonane kesho yake, usiku hawezi kutoka nyumbani.

Kulikucha tukamaliza taratbu za mazishi, sikumtafuta, nilikua bize nikalala msibani. Usiku nikamuandaa ili tuonane, asubuhi kaniambia kuja mazingra niliyopo ni 5k kwa bodaboda nikamtumia 10k. Asubuhi kulipopambazuka mida ya saa 4 akanijulisha tayari kapanda bodaboda, tukachukua mabegi yetu nikiwa na rafiki yangu ndiyo safari ya kurudi nyumbani.

Tumefika sehemu tuliyokubaliana tukutane, nikaulizia wenyeji lodge nzuri wakanielekeza, nikafika nikalipia. Nikasubiri kama nusu saa nikamtafuta simu inakata, mtandao unazingua. Nipo mazingira ya lodge tukaamua kukaa kibarazani na rafiki yangu nikimgoja kipenzi changu.

Tukiwa pale na mhudumu alikuwa karibu akifua, akaja dada mmoja mzuri kajifunga ushungi vizuri kabisa akatusalimia. Akaanza kuongea na mhudum pale, nikaona anapelekwa kwenye chumba cha mama geto, baadaye mama geto akarudi.

Rafiki yangu nikamwambia hakika kunawatu wanafaidi jamani, hii pisi itakuwa imeelekezwa kuja kutafunwa. Yaani hata rafiki yangu mwenyewe aliongezea kuniambia, tutakuwa tunakula kwa macho tu pisi kali kama hiyo.

Tukiwa pale tunamgoja yule kipenzi changu nikaona simu inaingia (kipenzi changu), nikapokea, nikamwambia nimekutafuta ikawa inakata, akasema itakuwa mtandao. Nkamwambia nimeshafika, hata yeye akasema ameshafika.

Maajabu yule dada aliyekuwa kwenye chumba cha mhudumu, alitoka akiwa anaongea na simu ambayo ndiyo simu yangu ipo sikioni. Akiongea tunasikilizana mpaka moyo wangu nilihisi umepasuka kwa mapigo yale, hata yeye hakuamini.

Mhudumu mpaka akaguna, akasema ina maana hawajuani? Klichofuata pale nilimfuata, kamshika mkono, nakumpeleka chumbani. Yaaani bonge la pisi, kavua tu kitovu kimezama ndani, mapaja yamejaa, ana katundu kanashikilia balaa, halafu mbaya zaidi kulikuwa na baridi kinoma, siku hiyo wa moto. Nimetafuna pisi kali mwanamke wa ndoto zangu.

Asikudanganye mtu eti dakika 15 bila wazungu, uongo! Inategemea na pisi, mimi mwenyewe sikwenda hata robo fainali, dakika 4 tu tukaenda kuoga. Mpaka sasa rafiki yangu haamini alichokiona akinitizama na mimi.

Kipenzi changu nilishamsahau, hata sura siikumbuki, hata yeye alidhibitisha kutonijua, tulionana 2020. Bonge la mechi, aliondoka saa 10 pm. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sijawahi kutafuna mwanamke mzuri namna hiyo.


Exalioth Yuda,
Jamiiforus,
Geita.
 
Aisee kipenzi chako mpk sasa bado unawasiliana nae? Na vp kuhusu kumuweka ndani kabisa ufikirii mkulungwa?
 
hongera kwako mkuu, mbinu yako ya vikaratasi imekusaidia
Haijawahi Kufeli kwakweli Inaboa Mtu kuanza kumuomba namba za simu kwenye maeneo magumu bora mshikishe mkononi kuponi tu
 
Mkuu itakuwa ulifaidi sana kuna ile kitu inaitwa katerrrrro nasikia ni maarufu Sana pande hizo. Vitanda vya Lodge vina DPM ili magodoro yasioze.
Demu sio mhaya ila ni msubi narudia sijawahi huyo ndio mwanamke wangu wa kwanza
 
Back
Top Bottom