mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,867
- 13,225
Kwa hiyo una taka kumuua??
MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app







Kwa hiyo una taka kumuua??
MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app







Mkuu...huku kutaka kuuliwa mtoto ulipiga RAMLI?.. au ulijuaje...Nikimaliza hili nitafanya,Sina time naye imeniuma wanapanga kuniulia mtoto,na mama yake na mkewe,kisa mzaliwa wa kwanza, mbona nilikausha 4 years?hapana tukutane katavi
hata mimi nimejiuliza sana ni jambo gani zito alilofanyiwa hadi kufikia kumkamia hivyo sjaona.ya nini yote haya? una tatizo la kisaikolojia dada waone wataalamu kabla hujaenda kufanya hayo mambo ya kishetani. Wewe mwenyewe hujioni ila sisi tunaosoma tunaona una matatizo kupita hata huyo uliyezaa nae. Halafu humu tunavyoshauri utusikilize tumetumia muda wetu kukutatulia shida yako
Eti hana mbele wala nyuma, kwahiyo akigeuka hujui?





hata makalio hayaonekaniUle mtaji wa Tigopesa..nimebet mechi ya yanga Jana...Sasa tunafanyaje?... Sina hela hata ya kula baba....Ongea kiswahil ww ili tukuelewe
Mkuuu...mbona Mimi nlishakuroga...Unafikiria Ungebet mtaji wa Tigopesa ...ndo kurogwa kwenyewe hukoNa sisi wanaume ingekua ni kuwaroga tungewaroga wengi



umejuaje kwamba walitaka kumuua hebu tupe ushahidi ilikuwajeImagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika![]()
Mkuuu..... Mtu mbaya ukishandana nae atakushinda.... Kwasababu Ubaya yeye ndo Maisha yake...wewe Sio Maisha yako...so Chakufanya.... Achana naeHapana huyu lazima apigwe,ada nilishalipa nusu ,panapo majaliwa namalizia,saivi sitaki hela yake,nataka arudi zero nolipomtoa
hata huko mahakamani ni usumbufu tu.kama huwezi kumpeleka mahakamani sheria ikamnyoosha basi jua kuwa unajisumbua bure
Kweli Mkuuu.... Kama Huyu dada anaona Kuroga ndo solution mi naona Amroge TU....I think we're missing a point here.
Watu wanasema kumsaidia mwanaume si kigezo cha kumfanya akupende, swali ni je mwanamke ndio aliemtongoza mwanaume?? Kama jibu ni hapana then kwenye swala la upendo mwanaume ndo mwenye kosa kwa kuanzisha mahusiano pasipo kua na nia ya kumpenda Kipepeo wa chuma1
Swala la pili ni kwamba majukumu ya malezi ni ya wazazi wote wa2 haijalishi mmetengana au bado ni mume na mke, kama ni hivyo kwanini huyu mwanaume hatekelezi majukumu yake kama mwanaume regardless mapungufu ya mdada??? Kafeli mara ya 2
Swala la mwisho Kipepeo wa chuma1 kaenda kudai haki ya mtoto na si yake, then kwanini huyu jamaa ageuze kibao amuhusishe mkewe hadi kufikia hatua ya kutaka kumuua mtoto wa mwanamke mwenzie???
Ninachokiona si dada kuumizwa na mafanikio ya mwanaume bali ni ile hali ya kukataa kumuhudumia mtoto hadi kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa mtt na ndicho hasa kinachomfanya huyu mwanamama kuchukua maamuzi magumu
Ifike mahali kama wanaume tuthamini hizi machine zenu hasa kizazi chetu kama huna plan za kuoa wala huna uwezo wa kulea hakikisha haumwagi ndan and if you do so, jiandae kuface responsibilities na sio bla bla



pole sana relationship is a history kila mtu ana lake alilopitiaHabari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.
Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita.
Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.
Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.
Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.
Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.
Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.🙏👊🏼
Mwanayanga mwenzangu...Nilikuamini mawazo yako nikabet mtaji wa Tigopesa kwa yanga....Nitumie 50K... MkuuuMtoa maada leta vitu maana Leo inst inanuka mamikia yameichukua kwa muda tumekuja kujificha huku wana yanga



Itakuwa alipiga ramli tu, siunaona alivyo na mawazo ya ushirikina ushirikina tu.Mkuu...huku kutaka kuuliwa mtoto ulipiga RAMLI?.. au ulijuaje...
..maneno mazuri hayaMoyo wenye shukrani na kuridhika, ni moyo wenye furaha sana.
Usijali mkuu, time ikiruhusu lazima niangushe madini humu ndani. Maana napendaga nikianza tu, nitiririke hadi mwisho bila kuweka vituo virefu kama anavyotufanyia Kipepeo wa chuma1![]()
Mm mwenyew nashanga umejuaje alitaka kuuawa mwanao? Jaman had wasomi wanaabudu ushirikina!...mm nakukabidhi mwanangu na hutaweza mrogaItakuwa alipiga ramli tu, siunaona alivyo na mawazo ya ushirikina ushirikina tu.
Ushirikina basi unaangalia cha usomi, ni jinsi tu life style yako ilivyokuwa wakati unakua.Mm mwenyew nashanga umejuaje alitaka kuuawa mwanao? Jaman had wasomi wanaabudu ushirikina!...mm nakukabidhi mwanangu na hutaweza mroga
yule mama alikuwa kauzu sana. Ila cha ajabu mbeleni alikujaga kuwa mtu muhimu sana kwangu, na sitoweza kuja kumsahau. Pengine huko mbeleni naweza kuja kuelezeaga the other side of my life.
Ushirikina katika jamiii yetu Ni mkubwa Sana...hata Kama hufanyi Wala uabudu Mambo ya kishirikina...kuwa makini Sana na jamii...hata Kama Ni wasomi was PHD....Itakuwa alipiga ramli tu, siunaona alivyo na mawazo ya ushirikina ushirikina tu.
Kweli kwa mfano akikupa matunzo yote ya mtoto na kukupa mtaji je akiomba penz unaweza kumuwekea ngum au ukalegea? Maana Wewe Jambo linalo kukosesha Aman na usingizi ni matatizo ya mtoto kukosa huduma ina baba mzaz akiweza kucheza na akili yako lazma utarudiana kisili tuHapana moyo wangu ulishamkinai kitambo![]()