Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Hapana katavi inahusika,lyamba la mfipa
Asee hata Mimi sikuachi mkuu ..inaonekana jamaa hakuwa na mpango na wewe ..hivyo fanya hima ufike kwa wazee wampige ganzi awe ndondocha Ila madhara lazima take na kwako pia maana ukijulikana umemtengeneza na wewe watakufanyia hivyo.

Sema nini..imeandikwa kisasi ni juu yangu, Kama anaikataa damu yake basi Mungu atamlipa, piga moyo konde songa mbele ..yaliyopita achananayo angalia watoto wako.

Ila hakikisha ufipa unafika
 
Pamoja na usomi wako ila unakaujeuri flani na hasira za mwendo Kasi, ni bahati sana mwanaume anaejielewa kudumu na wewe kwenye mahusiano otherwise hayo mahusiano yawe yanamuoffer vitu vingi huyo mwanaume.
 
Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika
Wanawake wakitendwa inakuwa habari sana, mbona sisi yamekuw maisha ya kawaida tu kutendwa
 
Hivi mapenzi yakiisha kuna haja ya kulazimishana adi Mrogane?Jifunzeni kuachwa na kuacha bila visasi mbona simple tu.Mnakwama wapi wanawake wenzangu.
 
Back
Top Bottom