Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
Yeah...tusiojua kuroga tunalia weee hlf tunagive up...haipiti miaka mingi jamaa lazima alieChozi la mwanamke baya sana ...
Yeah...tusiojua kuroga tunalia weee hlf tunagive up...haipiti miaka mingi jamaa lazima alieChozi la mwanamke baya sana ...
Lazima aisome namba hahahah hata alete hela saiv mizimu imekataaSafi sana dada, mkomeshe huyo bwege
Hahahahaha huenda ndo yeyeKakasirika vibaya mno itakuwa nae ndo wale wanaotakiwa kurogwa
Je...alikupenda kweli au wewe ulimganda? Maana huwa kuna muda wanawake mnaonaga dalili zote kuwa huyu mtu hafiki mahali na wewe ila mnajikuta mnavumilia!! Pole kwa maandishi yangu yaliyo straight sanaHabari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.
Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita.
Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.
Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.
Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.
Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.
Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.![]()


Sasa huyu ana vurugu gani au unahisi tu? Acha mtu arogwe..Kuna wadada wana vurugu aisee acha tu unaweza hata kumtelekeza mtoto ili uwe na amani haswa unapokuwa umeoa
Comments zako zinaonyesha..unamuattack sana kama vile unamjuaSina hasira wala nini
Kuroga sio dealSasa huyu ana vurugu gani au unahisi tu? Acha mtu arogwe..
He he heeee.Naomba nikitumia na Mimi mtu...jina lake umroge kwa niaba yangu....
Mrejesho muhimu hahahahah nilimkuta hata boxer kununua mtihani,so anarudi hapo,hivyo tuHahah yeap hapo utamuweza no kuangaliana usoni uje utupe mrejesho na picha juu
Usipokee hata senti..na akija kuwa mzee ubaba diamond unamuhusuLazima aisome namba hahahah hata alete hela saiv mizimu imekataa
Mrudishe chini zaidi kidoooogo!!
Kuna kitu hakisemi ndio nambana afunguke. Ukisikiliza upande mmoja unatakiwa upate maelezo mengiComments zako zinaonyesha..unamuattack sana kama vile unamjua
Ni maamuzi yake. Tunachotakiwa ni kumshauri kwa upole. Ila mimi namsapoti aendelee na plan yakeKuroga sio deal
Mbane vizuri basi, hasira haisaidiiKuna kitu hakisemi ndio nambana afunguke. Ukisikiliza upande mmoja unatakiwa upate maelezo mengi
Demi wewe😅Mbane vizuri basi, hasira haisaidii
Jamen nilisema mahusiano yalikwisha na nikakubali,tuliachana mwanangu akiwa na miezi mitatu na hajawahi nijua kimwili Hadi leo,ikabaki kulea,sema kazingua miaka yote,kaona haitoshi yeye,mama yake na mkewe wanataka niulia mtoto,kina nimeuliza kuhusu kusaidiana kumsomesha,ni haki hiyo?hapana lyamba la mfipaJe...alikupenda kweli au wewe ulimganda? Maana huwa kuna muda wanawake mnaonaga dalili zote kuwa huyu mtu hafiki mahali na wewe ila mnajikuta mnavumilia!! Pole kwa maandishi yangu yaliyo straight sana![]()
Nimetumia mbinu mbadala nilitaka apaniki ili atoe yote. Anisamehe kama nimemkwazaMbane vizuri basi, hasira haisaidii
Kama kweli mahusiano yalikwisha na ukakubaliana na hali kwa dhati kabisa basi wewe fanya litalousuuza moyo wako! Wakati mwingine huwa wanasema fanya kitu upate amani ya moyo..ukiona kaumia sana nenda ukatubuJamen nilisema mahusiano yalikwisha na nikakubali,tuliachana mwanangu akiwa na miezi mitatu na hajawahi nijua kimwili Hadi leo,ikabaki kulea,sema kazingua miaka yote,kaona haitoshi yeye,mama yake na mkewe wanataka niulia mtoto,kina nimeuliza kuhusu kusaidiana kumsomesha,ni haki hiyo?hapana lyamba la mfipa



Saa Tisa naingia njia ya msalaba vizuri tu,Ila lazima limpate,hata akienda wapi lazima anyooshwe🤣🤣Kama kweli mahusiano yalikwisha na ukakubaliana na hali kwa dhati kabisa basi wewe fanya litalousuuza moyo wako! Wakati mwingine huwa wanasema fanya kitu upate amani ya moyo..ukiona kaumia sana nenda ukatubu![]()
Saa Tisa naingia njia ya msalaba vizuri tu,Ila lazima limpate,hata akienda wapi lazima anyooshwe![]()







