Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.

Aisee pole
Punguza jazba usije ukaua buree
Pole sana mumy
 
I think we're missing a point here.
Watu wanasema kumsaidia mwanaume si kigezo cha kumfanya akupende, swali ni je mwanamke ndio aliemtongoza mwanaume?? Kama jibu ni hapana then kwenye swala la upendo mwanaume ndo mwenye kosa kwa kuanzisha mahusiano pasipo kua na nia ya kumpenda Kipepeo wa chuma1

Swala la pili ni kwamba majukumu ya malezi ni ya wazazi wote wa2 haijalishi mmetengana au bado ni mume na mke, kama ni hivyo kwanini huyu mwanaume hatekelezi majukumu yake kama mwanaume regardless mapungufu ya mdada??? Kafeli mara ya 2

Swala la mwisho Kipepeo wa chuma1 kaenda kudai haki ya mtoto na si yake, then kwanini huyu jamaa ageuze kibao amuhusishe mkewe hadi kufikia hatua ya kutaka kumuua mtoto wa mwanamke mwenzie???

Ninachokiona si dada kuumizwa na mafanikio ya mwanaume bali ni ile hali ya kukataa kumuhudumia mtoto hadi kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa mtt na ndicho hasa kinachomfanya huyu mwanamama kuchukua maamuzi magumu

Ifike mahali kama wanaume tuthamini hizi machine zenu hasa kizazi chetu kama huna plan za kuoa wala huna uwezo wa kulea hakikisha haumwagi ndan and if you do so, jiandae kuface responsibilities na sio bla bla
 
Mtoa maada leta vitu maana Leo inst inanuka mamikia yameichukua kwa muda tumekuja kujificha huku wana yanga
 
Now kipepeo, breathe! Breathe Beaut IN, nasty OUT!
If you say so about kumtoa /kumu guide to success/finding some legs uyo jamaa... God made you his Angel okay... dont take too much credit ndo maana inakuuma jamani. If he decided to ditch you sweetheart just move on... fate will decide. Dont think to revenge okay?! Kwanza umebarikiwa unajiweza so why uanze kuwaza so rotten hivyo??? Be careful cause if you decide to resent/ revenge ukute na yeye kashajipanga to give you a taste of your own medicine apo ndo sisi tunaokupenda tunakua concerned sana coz it may move from bad to the worst.
You are brave, beautiful and blessed. Continue to be a blessing and make this world a better place to everyone dont wish to be a Jezebel/Satan to no one.
We loke you. Most important your kids and this current mchumba loves you. That should suffice. Why be bothered by this other dude you think is a bastard

Jamani hiki kizungu kimeniumiza kichwaa
Dada wa katavi tutafutie solution na hapa please ukienda huko
 
I think we're missing a point here.
Watu wanasema kumsaidia mwanaume si kigezo cha kumfanya akupende, swali ni je mwanamke ndio aliemtongoza mwanaume?? Kama jibu ni hapana then kwenye swala la upendo mwanaume ndo mwenye kosa kwa kuanzisha mahusiano pasipo kua na nia ya kumpenda Kipepeo wa chuma1

Swala la pili ni kwamba majukumu ya malezi ni ya wazazi wote wa2 haijalishi mmetengana au bado ni mume na mke, kama ni hivyo kwanini huyu mwanaume hatekelezi majukumu yake kama mwanaume regardless mapungufu ya mdada??? Kafeli mara ya 2

Swala la mwisho Kipepeo wa chuma1 kaenda kudai haki ya mtoto na si yake, then kwanini huyu jamaa ageuze kibao amuhusishe mkewe hadi kufikia hatua ya kutaka kumuua mtoto wa mwanamke mwenzie???

Ninachokiona si dada kuumizwa na mafanikio ya mwanaume bali ni ile hali ya kukataa kumuhudumia mtoto hadi kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa mtt na ndicho hasa kinachomfanya huyu mwanamama kuchukua maamuzi magumu

Ifike mahali kama wanaume tuthamini hizi machine zenu hasa kizazi chetu kama huna plan za kuoa wala huna uwezo wa kulea hakikisha haumwagi ndan and if you do so, jiandae kuface responsibilities na sio bla bla
Huwezi hukumu kwa kusikiliza upande mmoja

Vinginevyo kama una jambo lako sawa
 
..mmebaki wakuhesabu..Mwenyezi Mungu azidi kukubariki
 
Kusoma kote hujaelewa tu kuwa huyu dada yetu ndio Kimeo?
Mkuu unamuattack san huyu mdada..simama kama mdogo wako wa kike au hata mwanao..sio vizuri kumuita majina ya ajabu ajabu mara single mama mara sijui hutishwi na maneno ya mtu alokosa direction ..hapana kwakweli..ana mzigo mzito sana acha kashfa ..am sorry kama nimekukwaza
 
Back
Top Bottom