TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

shantao

Senior Member
Jun 1, 2023
106
171
Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali nimependa sana kushare story yangu na nyie ndugu zangu pengine mnaweza kupata chochote kitu iwe funzo n.k.
Kwa jina naitwa shantao (sio jina halisi) ni mzaliwa katika familia ya watoto wa nne. Katika kukua kwangu nililelewa sana katika mazingira ya kidini kwani mama yangu alikuwa na cheo kanisani na alianza kuwa shemasi (kwa wanaosali makanisa ya pentecostal nazani wanaelewa hili) na baadae akawa mzee wa kanisa. Mzee wangu alikua hajaokoka kama mama ila alikuwa anaenda kanisani mara moja moja sana na alikua anasali kanisa lingine tofauti na la kwetu. Huyu mzee alikua mkali kupindukia kwa kifupi tulikua tunapenda kumwita bandidu na yeye alikua anahakikisha tunakulia kwenye misingi ya kidini japo yeye hajaokoka. Mbali na hilo nyumba ya pembeni yetu ilikua ni nyumba ya mchungaji wa kanisa tunalosali mimi na mama kwaiyo ilikua ni ngumu sana kufanya uhuni pamoja na mambo ya hovyo ambayo hayaeleweki. Mzee wangu namkubali leo kesho mana ndiye aliyenikomaza toka nikiwa mdogo kwani kila napofanya kosa hakuwa na muda wa kutafuta fimbo ili aniadhibu bali alikuwa akitumia ngumi na mateke na mara moja moja sana neema ya mungu ikishuka basi alikua ananiweka chini ya bomba anafungulia maji huku ananichapa kwa mikanda. Alikua akianza kutembeza kichapo hataki wa kuingilia na hata mama akitaka kutetea nae anaweza jumuishwa humo humo, kwa kifupi alikua mkali sana. Mtu pekee aliyekuwa anamuweza mzee wangu ni mchungaji ambae alikua hata kiumri ni mkubwa sana kuliko mzee wangu hivyo mama alikua akiona kinanuka anaenda kumwita yule mchungaji ndo anakuja kututetea. Ilikuwa haiishi hivi hivi kwani mchungaji naye alikuwa ni kauzu zaidi ya baba ila yeye alikuwa kauzu kwa wanawe kuliko sisi watu baki na alikuwa anawaya wake wa kuchapia kwaiyo alikua akija kututetea anatumia huo waya kutuadhibu ili kumfanya mzee asituue mana mzee alikuwa muuaji. . Nakumbuka nilivokuaga shule ya msingi darasa la sita sikukuu ya pasaka mzee wangu alinizawadia zawadi ya simu sababu alikua anajiweza sana by then na hyo simu niliimiliki hata masaa Matano hayakuisha nikanyang'anywa maana nilipewa kama zawadi mida ya saa 11jioni huku akiniahidi kesho yake bimkubwa atanifanyia mpango wa kupata line. Basi kiutoto utoto ile tunasema sikukuu tunaenda kutembea basi nikaona acha na mimi nikale misele mana ratiba yangu ni shule na kanisa shule na kanisa na hivi leo nimepewa simu acha nikawatambie mtaani huko basi sikuchelewa chaap nikaoga nikavaa suti nikaenda kupiga misele. Kwenye moja na mbili nikakutana na mwanangu mmoja hivi yeye tumuite eze (sio jina halisi) nilikua nasoma nae akaniambia twende nyumbani kwao, kipindi tumefika mtaani kwao tukakutana na rafiki zetu wengne tunaosoma nao na wanaishi karibu na anapokaa eze nikiwa namaanisha mtaa huo huo. Wao tuliwakuta wanaigiza muvi ya yesu na sisi tukajiunga nao, maeneo waliyokua wanacheza yalikua yamezungukwa na miti na migomba hivo kufanya kuwa ngumu zaidi kwa watu kufatilia wanachokifanya watoto wawapo maeneo hayo ( waliocheza kibaba na kimama wanaelewa maeneo kama haya) . Mimi ndo nilikua na akili kidogo darasani kuliko wale wenzangu na nilikua naeleweka ni mtoto wa dini basi nikisema kitu ilikuwa rahisi kusikilizwa, nikasema au tumchukue jamaa ( yule tuliyekuta anajifanya kama yeye ndo yesu) tumsurubishe halafu tumfunge msalabani, wote wakakubali, basi tukamchukua yule aliyekuwa anajifanya ni yesu tumuite hans ( sio jina halisi) tukamkamata. Sisi tulikuwa wengi na hans alikuwa pekeyake iyo ikasaidia kumshinda nguvu kwa urahisi kisha tukaanza kumchapa akawa analia tu. Tukachukua mbao na msumali kiutani utani tukampigilia hans msumali wa mkono mmoja tena ulikua mkono wa kushoto na baada ya kuona damu zinatoka tukakimbia tukamuacha analia hatari. Sababu ilikua karibu na kwa kina eze nikakimbilia kwao. Eze baba yake alifariki kitambo sana na alikua anaishi na mama ake na alikuwa na mabraza zake mapacha wao walikuwa form two, hao kaka zake walikua wa hovyo sana. Tulivofika kwao tukajifungia na mwanang akaweka muvi ya yesu tukaanza kuangalia pale na hapo ilikua tayari saa 12 na madakika nikawa nimepanga muvi ikiisha narudi nyumbani. Muvi ikafika hadi kwenye matukio ya kuteswa kule basi tukawa tunalia na jamaa yangu sebleni dah "haikutakiwa wamfanyie hiki" , "walimuonea" ndo maneno nakumbuka nilikuwa nikiyasema sana. Mabraza zake Eze walikuwa washenzi sana kwani haukupita muda wakaja pale seblen wakatoa muvi ya yesu wakaweka Cd ya X. Sijawahi ona vile vitu aisee akili yangu ikazima kwa muda nikasahau nyumbani nikaanza kuangalia yale madude. Wale mabraza walivokua wahovyo baada ya muda wakaanza kujichua pale. Sasa mizagamuo ilivokua inanoga pale na mimi nikazidi kusahau kuhusu nyumbani. Dah kila nikichungulia dirishani mwanga wa tv unaakisi dirishani naona kama giza halijaingia basi nanogewa kila nikichungulia nje naona mbn mapema ngoja nichek ii michezo ya watu wakubwa dah kuja kushtuka saa 4 usiku tena mama yake na jamaa ndo alikua anarudi. Alivokuja alitukuta tunaangalia zile X kwaiyo ule uwoga wa kufukuzana pale seblen tukakimbia na mie nikaondoka hata sikuaga. Muda huo nyumbani wamenitafuta hadi wamechoka. Kucheki saa ni sa 4 nkaanza kukimbia nyumbani huku nawaza nitunge uongo gani ili nyumbani nisipigwe. Nikaanza kukimbia kuwahi nyumbani, nipo kama mtaa wa pili kutoka kwetu nakutana na mama anatembea kumbe aliamua kuja kunitafuta baada ya kuona usiku ule sijarudi na kipindi hicho kulikua na maswala ya kupiga sana nondo. Nikamuita "mama" "mama"
Mama:" ivi wewe mtoto mbona unapenda kuniletea matatizo ulikua wapi usiku huu".
Mimi: "mama nilikua hapo kwa kina Eze tunaangalia muvi ya yesu muvi ikaisha tukaanza kusolve hesabu".
Mama: " enhe na leo mmemfanya nn mtoto wa watu" mbona umeanza kuwa na tabia ya ajabu we mtoto".
Mimi: "mtoto gani mama"
Mama: " si Hans na mama yake yupo nyumbani sijui baba ako atakufanya nini leo mpuuzi wewe..
Dah si ndo nikakumbuka tulichofanya jioni aisee nikaona leo nakufa mapema kabisa kila nikikumbuka kichapo kinavokua dah nikawa naomba nikifika bora nimkute mchungaji.​
 
Haisomeki Mkuu.

Hakuna haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom