Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Good..pambana mtoto mmoja sikitu..tena kama unaweza usiwasiliane naye kabisaaM
Mie mfipa nikimalizana naye Nampa mwanangu ubini wa home.
Good..pambana mtoto mmoja sikitu..tena kama unaweza usiwasiliane naye kabisaaM
Mie mfipa nikimalizana naye Nampa mwanangu ubini wa home.
Hamna kitu kama hicho. Wivu ndio tatizo lako kuu. Na elewa hata ukimuua huyo jamaa haitakusaidia kwa lolote zaidi ya kukuongezea msongo wa mawazo maradufu.Ndo wewe Nini😅itajulikana tu
Hapana hii nafanya kwa heshma ya mwanangu,mzaliwa wa kwanza aliyemuona si lolote , wakati nyota nimempa mimi.
Mwanangu wa kwanza akawa anadaiwa ada,kwa mwaka ni Kama 1.5mil,nikawa na laki tatu,nikalipa nikamwambia baba mzazi atume laki 4,tulipie term ya kwanza,akanijibu atalipa.Akaniomba akaunti ya shule nikampa,ikapita mwezi hajalipa,mind you Ana kampuni ,anapata pesa,na kampuni yenyewe nilishiriki kumsaidia kuanzia kifungua,kumpa ideas na kupush projects zake.Basi shuleni wakagoma kumpokea mwanangu.Nikampeleka shule ya mtaani ambayo nilikuwa nalipia elfu 20 kwa mwezi,ili asikae bure nyumbani.
Baada ya mwaka kuisha Mungu si athumani nikapambana nikapata visenti,nikamlipia mwanangu shule ile ya mwanzo ya English medium,nikalipa nusu muhula akaanza shule,naye alipoona akasema usihofu ada iliyobaki nitalipa,nikamjibu ok,Ila nolijua no story tu manake ni mwongo,huwa anaongea Ila hatekelezi.Cha ajabu sijawahi ongea naye lolote zaidi ya ada ya shule ya mwanangu.
Nitakuja elezea vimbwanga vya mkewe alivyomfanyia mwanangu,ilhali hamjui,sijawahi hata kuwa karibu naye Wala mumewe,Wala kujihusisha na familia yake kwa lolote,inasikitisha Sana Ila inshallah yatakwisha🙏.
Simtaki nataka alee damu yake,na leo vitaumana simpo,Hana maajabu🙏Ujumbe wangu kwako waache hao jamaa (mzazi mwenzio na mkewe) waendelee na maisha yao. Wewe pambana na hali yako na mwanao. Unajikosesha amani bure wenzako wana-enjoy maisha yao. Huyo mtu hukupangiwa awe wako usilazimishe
Hahahahah hayaHamna kitu kama hicho. Wivu ndio tatizo lako kuu. Na elewa hata ukimuua huyo jamaa haitakusaidia kwa lolote zaidi ya kukuongezea msongo wa mawazo maradufu.
Halafu mlipa kisasi ni Mungu tu wewe utajisumbua kwa wazee wako na utachanjwa mpk ulimi ila Mungu akisema No ni No
Hahahaa ngoja nikuambie masikitiko yako tu yatamrudisha kule alikokua...ula sidhan kama ushirikina utasaidia...ngj tuoneNo nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudisha🙏
kama huwezi kumpeleka mahakamani sheria ikamnyoosha basi jua kuwa unajisumbua bureSimtaki nataka alee damu yake,na leo vitaumana simpo,Hana maajabu🙏
Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika🙏
Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.Hahahaa ngoja nikuambie masikitiko yako tu yatamrudisha kule alikokua...ula sidhan kama ushirikina utasaidia...ngj tuone
😅😅😅...aende ustawi wa jamii tu...atasomeshwa tu ..ila kiuhalisia inauma mtu umempa mwanga leo anakuumiza nafsi hvy?Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Katavi ipi jamani? Si tulikubaliana kusamehe 7 x70?Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika![]()
Kila nikioma hii id nakumbuka pale umeenda kula kwa mama ntilie...ukakuta startv wanakipindi cha tuition ukamwambia mama lishe abadili akakujibu kula uondoke🤣🤣🤣🤣..iko siku nitaurudia ule uzi nicheke tena dah🙌Katavi ipi jamani? Si tulikubaliana kusamehe 7 x70?
Namsumbua wakati ni jukumu lake,atasikia mlio tuHii yote sidhani kama ni ubaya wa huyo mzazi mwenzie bali ni maisha kumchapa akachapika vilivyo huyu dada yetu.
Pole sana mkuu ila komaa pesa inatafutwa utapata tu na utamsahau kama ulivyomsahau hapo mwanzo ulivokua na vijisent kabla ya kusimamishwa kazi.
Lakini pia hiyo ishu ya kusema ulimsimamisha sijui ulimkuta hana kitu ukamuwezesha sawaaaa lakinii nae pia ana akili ya maisha ndio maana mpaka leo unaona kampuni yake inakua.
Kwahiyo usione wivu kwa mzazi mwenzio kufanikiwa.
Kama uliamua kumove on we endelea na maisha yako labda huko kumsumbua sumbua kuhusu pesa za mtoto ndio maana wanataka kufanya hayo ya kumdhuru mwanao.
Haya utaenda uko katavi vipi ukishindwa kufanikiwa na wao wakaanzisha vita wakafanaikiwa lengo lao?? Utakua umefaidika nini??
Acha kumtafuta umlee mwanao ishi maisha unayoweza kama izo english medium zinakutesa tu kama kipato chako ni kidogo izi shule za serikali zinatosha kabisa na pia kuna shule za serikali za mitaala ya kiingereza pia ada yake ni ndogo unaweza mpeleka huko pia
Kama unajua ni jukumu lake ukienda huko akafilisika wewe utafaidika nini??Namsumbua wakati ni jukumu lake,atasikia mlio tu
Ndo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Umeongea la maana sana ila nakwambia ujue kabisa huyu dada hawezi kusikiliza anachotaka ni jamaa arudi kwake (analazimisha mahusiano) kitu ambacho hakiwezi kutokeaNdo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .
Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .
Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo
Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile
Dada Fanya hivi
Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .
Usiombe mwanamke akutoe kimaisha afu umuache ,yaan matusi kama nimekukuta pu.....m..bu tupo ,unanuka kikwapa ,sijui hujui kuvaaa ,sijui umepauka n.k yatakuwa kama salamu kwako .na ukiwazaaa unaona ni kweliii kaniokota nilikuwa nimechokaaa basi unaumiaaaa balaa na kukosa amaniUmeongea la maana sana ila nakwambia ujue kabisa huyu dada hawezi kusikiliza anachotaka ni jamaa arudi kwake (analazimisha mahusiano) kitu ambacho hakiwezi kutokea
Ndo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .
Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .
Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo
Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile
Dada Fanya hivi
Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .
Hahahaa ngoja nikuambie masikitiko yako tu yatamrudisha kule alikokua...ula sidhan kama ushirikina utasaidia...ngj tuone