Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,512
- 94,650
Duh..Saa Tisa naingia njia ya msalaba vizuri tu,Ila lazima limpate,hata akienda wapi lazima anyooshwe![]()
Duh..Saa Tisa naingia njia ya msalaba vizuri tu,Ila lazima limpate,hata akienda wapi lazima anyooshwe![]()
Yap ameanza mie namaliza tu kiroho Safi,tuchekiane baadae najiandaa kuingia chachiDuh..
He he heeee.




...Mkuu nauli ya kwenda katavi natoa wapi... Kama Kuna dalali was Ulozi.... Basi nimpe jina namimi anirogeee...mtu wanguYa church na ya katavi yanaendana kweli? Ha haaa hayaaa, utupe mrejeshoYap ameanza mie namaliza tu kiroho Safi,tuchekiane baadae najiandaa kuingia chachi
Hii haihitaj dalali,ni wazee wake wenyewe...Mkuu nauli ya kwenda katavi natoa wapi... Kama Kuna dalali was Ulozi.... Basi nimpe jina namimi anirogeee...mtu wangu
Hapo ndo panapo shangaza... YaaaniYa church na ya katavi yanaendana kweli? Ha haaa hayaaa, utupe mrejesho
Nilifanya hivo kitambo,kilichoniudhi na kunitibua ni yeye,mkewe na mama yake kufikia hatua ya kutaka kumkil mwanangu,kwahilo siwezi tulia Wala kunyamaza🙏🔌pole sana dada i feel you kwakweli inauma saana sana naomba nikushauri uachane nae mazima nyamaza kimya kama hauwezi kusomesha shule za bei mpeleke kayumba tumesoma huko na tumetoboa maisha yanaenda. usimbadili ubini do not deny her/him natural right mtoto wako, kama shida ni revenge basi serve it cold fanya kama hayupo usimtafute na usimblok kila kitu kinaanzia a akili train your mind ulizaa for u na mwanao ni wako wewe achana na kufikiria ulimtoa wapi nk nk fanya ilikua sadaka lia na Mungu wako hatakunyima mahitaji hata siku moja i wish we talk more on this nakupenda
Sawa wacha tuone,mbona wanahangaika Basi Kama hayajaanza kumpata mdogomdogo?Hapo ndo panapo shangaza... Yaaani
Mtu anaamua kuroga na hapo.hapo anamuamini Mungu....
Anae muamini.Mungu na akamuabudu kwa haki ya kuabudiwa...hata Ardhi igeuke kuwa chuma haioteshi hata punje ya nafaka...
Anaaamini Dawa dawamu mwenye Mungu hatomuacha atamafanyia Njia nyingine kabisa.....
Hii ndo Imani yangu Mimi.... KUROGA kwakweli naaamini Ni kupoteza Muda... Hali mpati mtu janga au mtihani ila Mungu anaruhusu...
Kama haijapangwa huyo mtu apate matatizo.hayo....HAYATOMPATA asilani Abadani...
Unajuaje..inamaana Kuna watu wanakupa.taarifa?... Au ndo unaangalia kwenye kioo Cha mganga wa katavi....?Sawa wacha tuone,mbona wanahangaika Basi Kama hayajaanza kumpata mdogomdogo?
We ndo mkewe Nini?subirini mlio katavi haidanganyi🙏Unajuaje..inamaana Kuna watu wanakupa.taarifa?... Au ndo unaangalia kwenye kioo Cha mganga wa katavi....?
Elekeza nguvu kwenye Mambo ya msingi
Apozile,mwalinda uli?Duh, kuli chi kuko?
Wanahangaika nini sasa jamani mbona unatupa mambo kwa kuringaSawa wacha tuone,mbona wanahangaika Basi Kama hayajaanza kumpata mdogomdogo?


Mzee kanambia nisubiri mizimu ifanye kazi kwanza,story ntaileta ndomana nimesitisha kidogo,hauliwi mtu,anapewa tu funzo la maisha ili isije jirudia Tena.Dada endelea na stori tujifunze mawili matatu, mambo ya kulogana mtajuana wenyewe huko.
Pia bila kusimulia stori nzima watu watakuwa wanakupa ushauri ambao ni fyongo maana hawajui stori nzima ilivyo.
Mkuuu...Mimi Sina Mume Sina mtoto...na Sina helaWe ndo mkewe Nini?subirini mlio katavi haidanganyi![]()




..


Awe ningoooo, apozile wio?Apozile,mwalinda uli?
Siringi imepozi kidogo ntaileta yote bila kificho,mbingu na Ardhi zinaelewa ushenzi alonifanyia nikawa mpole,alonifanyia mwanangu,mbaya zaidi ametaka kumdhuru mwanangu ambaye ni malaika hajawahi wakosea lolote.Wanahangaika nini sasa jamani mbona unatupa mambo kwa kuringa![]()