Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Habari za mida wanajamii forum. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.

Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, Ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.

Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.

Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.

Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.

Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.🙏👊🏼
Shida iko wapi we singo maza? Simple tu ulikuwa unadhani kipato chako ndio mapenzi. Mapenzi sio pesa pale aliposita tu ulitakiwa ujiongeze. Hakuna mwanaume anayetegemea mwanamke amwongoze kwenye maisha wewe ulidhani kipato chako kitakufanya upendwe, ulikosea hapo

TULIA ULEE MTOTO AKITOKEA WAKUTOKEA FUNGA NAE NDOA
 
Matusi ya Nini asubuhi hii?btw Nina mpenzi tayari,kitambo tu,nimeamua kutoa historia yangu tu na kisa hakijaisha,manake yajayo yanafurahisha.
 
Kwahiyo shida iko wapi??
Kweli mapenzi,mahusiano na ukaribu Kati yangu Mimi naye ikaisha.Nikawa bize kumlea mwanangu kwa neema za Mungu.Miaka imekatika Hadi leo ni mwaka wa nne.Nilimove on completely.

Changamoto za maisha huwa zipo tu,nikaja nikasimamishwa kazi kupisha uchunguzi,nikakaa nyumbani mwaka mzima,nikiwa nalea mtoto wangu wa pili kwa huyu mwanaume niliye naye Sasa.Hali ya kiuchumi ikabadilika Sana,marafiki wakatoweka,nikauza assets zangu kibao ili kusurvive.

Kwakuwa sikuwa na kosa nikarudishwa kazini Ila nikiwa nimeporomoka Sana kiuchumi.Kazini nako nikarudi upinzani ukawa mwingi manake walishanilebo vibaya.Wateja wakawa washanisahau,waliobaki ofisini wakawa wamechukua nafasi yangu,basi ikawa full tafrani.Sijakaa vizuri nikahamishiwa mbali huko mpakani na nchi jirani.

Kiuchumi nilikuwa Hali tete,nikaona Bora nimchek baba wa mwanangu atoe sapoti kwa mwanae shule,e bwana eeh alichonijibu na kufanya yeye na mkewe,ndicho kimefanya nilete mkasa huu.
 
Sehemu gani nimekutukana? inaonekana hata ujielewi wewe. Unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe? ungepeleka hiyo topiki FB kwa marafiki zako basi
Hapana unatoa majibu ya karaha na kudhalilisha.Am a proud mom,najivunia wanangu na Wala sijawahi kujuta kuwazaa,they are blessing to my life.Na siku zote nitaishi nikimshukuru Mungu kwa zawadi hii.
 
Mwanangu wa kwanza akawa anadaiwa ada,kwa mwaka ni Kama 1.5mil,nikawa na laki tatu,nikalipa nikamwambia baba mzazi atume laki 4,tulipie term ya kwanza,akanijibu atalipa.Akaniomba akaunti ya shule nikampa,ikapita mwezi hajalipa,mind you Ana kampuni ,anapata pesa,na kampuni yenyewe nilishiriki kumsaidia kuanzia kifungua,kumpa ideas na kupush projects zake.Basi shuleni wakagoma kumpokea mwanangu.Nikampeleka shule ya mtaani ambayo nilikuwa nalipia elfu 20 kwa mwezi,ili asikae bure nyumbani.

Baada ya mwaka kuisha Mungu si athumani nikapambana nikapata visenti,nikamlipia mwanangu shule ile ya mwanzo ya English medium,nikalipa nusu muhula akaanza shule,naye alipoona akasema usihofu ada iliyobaki nitalipa,nikamjibu ok,Ila nolijua no story tu manake ni mwongo,huwa anaongea Ila hatekelezi.Cha ajabu sijawahi ongea naye lolote zaidi ya ada ya shule ya mwanangu.

Nitakuja elezea vimbwanga vya mkewe alivyomfanyia mwanangu,ilhali hamjui,sijawahi hata kuwa karibu naye Wala mumewe,Wala kujihusisha na familia yake kwa lolote,inasikitisha Sana Ila inshallah yatakwisha🙏.
 
Hapana unatoa majibu ya karaha na kudhalilisha.Am a proud mom,najivunia wanangu na Wala sijawahi kujuta kuwazaa,they are blessing to my life.Na siku zote nitaishi nikimshukuru Mungu kwa zawadi hii.
Ushauri wangu, achana kabisa na kujishughulisha na huyo jamaa na wala usiwasiliane nae kwa lolote. Hakuna kitu kibaya kama una mwanaume akasikia unawasiliana na mzazi mwenzako sijui kwa ajili ya ada au kwa lolote lile. Mtu anaweza kukaa kimya tu ila inamuuma sana moyoni kuliko hata kuchomwa na kisu.

Ni bora mkubaliane na uliye nae mkagharamia gharama zote za matunzo na ada za mtoto, otherwise hata kama mtu wako wa sasa akiwa kimya elewa kuwa analia moyoni kila akisikia unadai ada au mawasiliano yoyote yale

Wanaume tuko tofauti sana na uwa tuna fake sana machoni ila moyoni tunaumia mno. Binafsi mie nimeanzisha utaratibu rasmi wa kwenda Bagamoyo ufukweni kulia peke yangu mtu akinizingua ile mizunguzi mikubwa. Nafanya hivyo ili nisije kuumwa pressure au sukari kwa kupambana na mazito ya moyoni

Nadhani hapa nimekushauri vizuri.

Kingine achana na visasi yameshatokea hayo jaribu kuwa muungwana na uendelee na maisha yako usirudi nyuma sijui nitakachomfanyia mpk ndugu zake watakusanyika hayo maneno yana ku-define vibaya mbele ya wasomaji na unaonekana umeshindwa ku-move on bila huyo mtu na ndio maana umekuja mpk na hii topiki

Tulia kaa chini panga maisha yako yaliyotokea yametokea, mwisho wa siku hata huyo mwanaume uliyompata utakuwa unamboa na hayo machuki na mavisasi uliyonayo
 
Mwanangu wa kwanza akawa anadaiwa ada,kwa mwaka ni Kama 1.5mil,nikawa na laki tatu,nikalipa nikamwambia baba mzazi atume laki 4,tulipie term ya kwanza,akanijibu atalipa.Akaniomba akaunti ya shule nikampa,ikapita mwezi hajalipa,mind you Ana kampuni ,anapata pesa,na kampuni yenyewe nilishiriki kumsaidia kuanzia kifungua,kumpa ideas na kupush projects zake.Basi shuleni wakagoma kumpokea mwanangu.Nikampeleka shule ya mtaani ambayo nilikuwa nalipia elfu 20 kwa mwezi,ili asikae bure nyumbani.

Baada ya mwaka kuisha Mungu si athumani nikapambana nikapata visenti,nikamlipia mwanangu shule ile ya mwanzo ya English medium,nikalipa nusu muhula akaanza shule,naye alipoona akasema usihofu ada iliyobaki nitalipa,nikamjibu ok,Ila nolijua no story tu manake ni mwongo,huwa anaongea Ila hatekelezi.Cha ajabu sijawahi ongea naye lolote zaidi ya ada ya shule ya mwanangu.

Nitakuja elezea vimbwanga vya mkewe alivyomfanyia mwanangu,ilhali hamjui,sijawahi hata kuwa karibu naye Wala mumewe,Wala kujihusisha na familia yake kwa lolote,inasikitisha Sana Ila inshallah yatakwisha.
Pole sanaa pambana lea mwanao ,mimi niliachana na mzazi mwezangu nikaoa ,ilaa huyu ex sasa hana busara hata kidogo akiamua tu anajiunga bundle anivuruge na kunitukana anavyotaka .

Usije ukawa type hii afuu jamaa hana haruma na mtoto na anamshirikisha mke wake jinsi unavyomvuruga .

Binafsi pamoja na yote siwez kutomjali mtoto wangu ,na mke wangu wa ndoa ingawa anajua alinikuta na mtoto lkn story za mwanangu huwa sijawah ziongelea na hataokuja zisikia namalizana na mamake

Navuta mda mtoto akimaliza darasa la saba miaka mi tatu ijayo naachana kabsa na mamake naongea na mtoto mambo yake atayohitaji nampa yeye.
 
Kinachoniumiza anamdharau mwanangu, wakti mie ndio nimempa maisha,Sina time naye,kwakuwa hakuwahi nitikisha nilichohitaj alee mwanae Basi.
 
Pole sanaa pambana lea mwanao ,mimi niliachana na mzazi mwezangu nikaoa ,ilaa huyu ex sasa hana busara hata kidogo akiamua tu anajiunga bundle anivuruge na kunitukana anavyotaka .

Usije ukawa type hii afuu jamaa hana haruma na mtoto na anamshirikisha mke wake jinsi unavyomvuruga .

Binafsi pamoja na yote siwez kutomjali mtoto wangu ,na mke wangu wa ndoa ingawa anajua alinikuta na mtoto lkn story za mwanangu huwa sijawah ziongelea na hataokuja zisikia namalizana na mamake

Navuta mda mtoto akimaliza darasa la saba miaka mi tatu ijayo naachana kabsa na mamake naongea na mtoto mambo yake atayohitaji nampa yeye.
Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
 
Habari za mida wanajamii forum. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.

Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, Ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.

Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.

Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.

Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.

Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.
Kwa hiyo una taka kumuua??

MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
ya nini yote haya? una tatizo la kisaikolojia dada waone wataalamu kabla hujaenda kufanya hayo mambo ya kishetani. Wewe mwenyewe hujioni ila sisi tunaosoma tunaona una matatizo kupita hata huyo uliyezaa nae. Halafu humu tunavyoshauri utusikilize tumetumia muda wetu kukutatulia shida yako
 
Back
Top Bottom