Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Acha ubaya hauna maana,kama mtoto hajafa we endelea na maisha yako.Hayo yote hayakusaidii kitu,kama unaona utapata faida mfanyie ubaya.
 
Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Hapa shetani kakaa pembeni na Pepsi big anataka kujifunza kitu kutoka katavi
 
Kwa hiyo una taka kumuua??

MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Dada nahisi ana matatizo ya kisaikolojia maana naona mpk amefikia hatua ya kutaka kuua ambayo ni hatua mbaya sana. Tatizo lake ameshindwa kumtoa moyoni huyo mzazi mwenzake na kwa magumu anayopitia wakati mwenzake ana maisha mazuri na ametulia na ndoa yake kinamuuma sana.

Naona amefikia hatua hata ya kutomwogopa Mungu na kutaka kumtoa uhai huyo ex wake.

Pia anataka kushiriki kwenye uchawi, kitu kibaya sana. Vipi ukikuta na huyo mzazi mwenzie yuko vizuri kwenye hayo mambo si ndio itakuwa vita vya kutoana roho
 
Kumbe haka ka stori kana utamu Fulani.
Funguka mpwa .
Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika🙏
 
Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Una roho ya ajabu sana we mdada
 
Dada nahisi ana matatizo ya kisaikolojia maana naona mpk amefikia hatua ya kutaka kuua ambayo ni hatua mbaya sana. Tatizo lake ameshindwa kumtoa moyoni huyo mzazi mwenzake na kwa magumu anayopitia wakati mwenzake ana maisha mazuri na ametulia na ndoa yake kinamuuma sana.

Naona amefikia hatua hata ya kutomwogopa Mungu na kutaka kumtoa uhai huyo ex wake.

Pia anataka kushiriki kwenye uchawi, kitu kibaya sana. Vipi ukikuta na huyo mzazi mwenzie yuko vizuri kwenye hayo mambo si ndio itakuwa vita vya kutoana roho
Hapana Sina mpango wa kuua🙏na hayuko vizuri hivo,ntamrudisha nilikomkuta,ambapo nilikuwa namnunulia boxer,manake uwezo alikuwa hana.hayo ya saikolojia unajua wewe msomi😅
 
Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika🙏
Learn to forget and move on with your life. Unasikia uchungu kwa material things? Vipi watu wanaosomesha mtu na akimaliza anamwagwa na maisha yanaendelea? Jamaa ameamua kukutosa wewe na mwanae, hapo kuna maawili mshitaki au lah achana nae assume kama amekufa
 
Hapana katavi inahusika,lyamba la mfipa
 
Hapana Sina mpango wa kuua🙏na hayuko vizuri hivo,ntamrudisha nilikomkuta,ambapo nilikuwa namnunulia boxer,manake uwezo alikuwa hana.hayo ya saikolojia unajua wewe msomi😅
Ujumbe wangu kwako waache hao jamaa (mzazi mwenzio na mkewe) waendelee na maisha yao. Wewe pambana na hali yako na mwanao. Unajikosesha amani bure wenzako wana-enjoy maisha yao. Huyo mtu hukupangiwa awe wako usilazimishe
 
Back
Top Bottom