Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Yaani wanaume siku zote huwa mnatafuta kila namna mwanamke aonekane ndiyo mwenye makosa eti asipobadilika ujue huyo Mtoto siyo wake kwamba huyo mwanaume yeye hawezi kuwa na matatizo yake binafsiNdo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .
Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .
Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo
Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile
Dada Fanya hivi
Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .