Kinachoonekana wazi ni kuwa, viongozi wa Simba wakiongozwa na MO na bodi nzima, hawapendezwi na Manara kufanya kazi na GSM pamoja na Azam Ltd.

Na hicho ndicho kimemponza.

Manara alichokosea tu ni kuwa kamkaripia CEO wake. Na kumtishia kuwa atamuondoa Simba. Sawa, ataondoka lakini si kwa matakwa ya Manara.

Ngoja tuone, how will the sagga end!.

Simba tukifungwa, ndo zogo litakuwa tamu balaa.
 
Haji Manara ameonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Anamwambia CEO akome!! Kwenye taasisi yoyote CEO ndo kila kitu! Unamtukana CEO hadharani unategemea nini? Manara ameifedhehesha sana simba!! Hata kama CEO akiwa na makosa hiyo siyo namna ya kushughulika naye. Siwezi kushangaa kama Manara akimtukana baba yake! Hana adabu!! Ni aibu kwa baba yake pia!!
Nashauri awekwe pembeni kwa siku 7 apate muda wa kutafakari! Asiambatane na timu kigoma!! Baada ya siku saba 7, amwombe radhi Barbara hadharani. Kisha kama ana malalamiko yoyote ayawasilishe kwa uongozi. Akishindwa hilo aende zake!! Mchango wake kwa simba tunautambua lakini ameamua kunyea kambi!
 
Haji Manara ameonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Anamwambia CEO akome!! Kwenye taasisi yoyote CEO ndo kila kitu! Unamtukana CEO hadharani unategemea nini?

Manara ameifedhehesha sana simba!! Hata kama CEO akiwa na makosa hiyo siyo namna ya kushughulika naye. Siwezi kushangaa kama Manara akimtukana baba yake! Hana adabu!! Ni aibu kwa baba yake pia!

Nashauri awekwe pembeni kwa siku 7 apate muda wa kutafakari! Asiambatane na timu kigoma!! Baada ya siku saba 7, amwombe radhi Barbara hadharani.

Kisha kama ana malalamiko yoyote ayawasilishe kwa uongozi. Akishi dwa hilo aende zake!! Mchango wa,e kwa simba tunautambua lakini ameamua kunyea kambi!
 
Kwa upande wangu regardless na tuhuma za Manara kwa Barbara, Manara njia aliyoitumia amekosea sana. It is very unprofessional kuleta mambo kama yale public halafu unarecord na voice note kabisa, kwa mtu wa caliber kama yake ule ni utoto na uswahili.
 
Haji Manara ameonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Anamwambia CEO akome!! Kwenye taasisi yoyote CEO ndo kila kitu! Unamtukana CEO hadharani unategemea nini? Manara ameifedhehesha sana simba!! Hata kama CEO akiwa na makosa hiyo siyo namna ya kushughulika naye. Siwezi kushangaa kama Manara akimtukana baba yake! Hana adabu!! Ni aibu kwa baba yake pia!!
Nashauri awekwe pembeni kwa siku 7 apate muda wa kutafakari! Asiambatane na timu kigoma!! Baada ya siku saba 7, amwombe radhi Barbara hadharani. Kisha kama ana malalamiko yoyote ayawasilishe kwa uongozi. Akishindwa hilo aende zake!! Mchango wake kwa simba tunautambua lakini ameamua kunyea kambi!
Naona yupo sahihi kwa kuwa katoa ya moyoni
 
Kwa upande wangu regardless na tuhuma za Manara kwa Barbara, Manara njia aliyoitumia amekosea sana. It is very unprofessional kuleta mambo kama yale public halafu unarecord na voice note kabisa, kwa mtu wa caliber kama yake ule ni utoto na uswahili.
Amefanya nini huyu jamaa
 
Amepewa option ya kuchagua eidha awe mwakilishi wa Simba SC au Asas, GSM na Azam Ltd? Simple as that.

Hata mimi binafsi nilikuwa sipendezwi jinsi alivyotumia brand ya Simba kutengeneza brand yake ili kupata endorsements kama za Asas, GSM na Azam
 
Back
Top Bottom