FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Sasa je,na tena nimekuzidi tena
nina
1. Ruhazwe JR, bado ananitamani.
2. Ruttashobolwa, nasikia ana mwingine lakini sijali lolote.
3. Arushaone, nasikia ana mwingine lakini sijali lolnte.
4. tedo,
5. Chilli na
My Best Huzmaterial Chimbuvu.

manoah, Ismail N. Juma pamoja na matumbo wako Pending kwanza,huku kukibuma,navuta Brand New from hao.
Hapana chezea Madame B,chumchum Pelemba,Ukienda na Shungi utarudi na Kilemba.

Sawa, madame B mie, navumilia na mie unipe utamuuu
 
Kutana na watu8...ana minguvu kama Power Mabula, ana uwezo wa kupuliza chupa ya soda hadi inapasuka
Pawa mabula alikuja kijijini kwetu, akawa anapita mitaani huku akitangaza kuwa ana uwezo wa kuivuta Land Rover 109 kwa meno.
Alipofika mtaa wa pili akakuta Scania 112 ina trela iko kwenye tope lakini inatoka taratibu kama inasukumwa nyuma, alipoenda akakakuta katoto kana miaka 7 kanaisukuma peke yake.
Pawa Mabula Akazimia
 
Hahahaha...wale jamaa walikua wanatuokota sana
 
fat_black_woman2.jpg

Mr Rocky naona unantafuta..... huu mwili wote we unasema sina afya?????
 
Last edited by a moderator:
Namilikiwa na Mama V, na nikizingua napewa kichapo mtindo mmoja
 
Kaka, hii sio flirting kweli? Hebu kamsome kaka riwa kule afu uje uedit kabla wifi AshaDii hajastukia.
Madame B mwalimu wangu, mimi najisifia kukumiliki wewe, kwa maana ya ujuzi, ujanja, wepesi wa kuchanganua mambo, heshima kwa watu, nk, yaani

najisikia ni ndani mwako kabisaa....kila nikipiga picha, taswira yako yanijia kichwani, basi mi wala sina makuu natekeleza maagizo yako mwalimu wangu. Sina kingine cha kujionea fahari zaidi ya hayo......:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
Kaka, hii sio flirting kweli? Hebu kamsome kaka riwa kule afu uje uedit kabla wifi AshaDii hajastukia.

hahaha! Wifi una mambo wewe! Akiomba ruhusa anaruhusiwa kabisaaaa.... Hivo Madame B kisha kuwa reported hata mdogo wangu gfsonwin na msiri wake Mwa J walipewa copy ya hiyo ruhusa toka kwangu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom