FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Mie namiliki mazombi matatu yote yamefika kwangu afu mie cna mkakati nayo nayavuna tu...,
Tobaaaa we Ciello mswalie mtume khaaa! Unavuna watoto wa mwanamke mwenzio? Mungu hapendi ujue!
 
Last edited by a moderator:
Mie nilijua nipo juu zaidi yako kumbe umenizidi! Mie nawamiliki wa 4.

1. Mr Rocky ! 2. Filipo ! 3. Mungi na husband nitonye !

Sasa je,na tena nimekuzidi tena
nina
1. Ruhazwe JR, bado ananitamani.
2. Ruttashobolwa, nasikia ana mwingine lakini sijali lolote.
3. Arushaone, nasikia ana mwingine lakini sijali lolnte.
4. tedo,
5. Chilli na
My Best Huzmaterial Chimbuvu.

manoah, Ismail N. Juma pamoja na matumbo wako Pending kwanza,huku kukibuma,navuta Brand New from hao.
Hapana chezea Madame B,chumchum Pelemba,Ukienda na Shungi utarudi na Kilemba.
 
Last edited by a moderator:
Mi namiliki tunguri 7, vibuyu 15, hirizi themanini, nyungo 10. Pia nina uwezo wa kwenda nchi yoyote kwa muda mfupi kwa kutumia njia za asili.. Napaa. Mengine siri yangu.

me nataka ungo mmoja tu wenye uwezo wa kufika kwa obama!!!!
 
Ninamiliki jiko la mchina lenye stand, na visufuria 2 vidogodogo. + mwiko 1 na saver spoon 1, cna haja ya kuongeza vyombo vingine. Hayo ndo maisha ya kiselaa!
 
Me namiliki wanaume watano.
Na wote nawamudu.


Kumbe ndi maana siku ileee................


6b9L28hCZ5g0u33AAAAAElFTkSuQmCC


Baadaye ukaniambia ulikuwa unanitania.....
Kumbe tuko wengiiii...
 
Sasa je,na tena nimekuzidi tena
nina
1. Ruhazwe JR, bado ananitamani.
2. Ruttashobolwa, nasikia ana mwingine lakini sijali lolote.
3. Arushaone, nasikia ana mwingine lakini sijali lolnte.
4. tedo,
5. Chilli na
My Best Huzmaterial Chimbuvu.

manoah, Ismail N. Juma pamoja na matumbo wako Pending kwanza,huku kukibuma,navuta Brand New from hao.
Hapana chezea Madame B,chumchum Pelemba,Ukienda na Shungi utarudi na Kilemba.
Ha ha ha ha! Mandingo nae anaomba umwongeze lol.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom