FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Usisubiri kusifiwa jisifie Mwenyewe...Husika na kichwa ya habari hapo juu..
Mi ntakuwa wa Mwisho...ila kwa kuanzia..mi ni mbabe,hapa ngumi zimelala....uwezo wangu binafsi wa kumfurahisha na kumridhisha mwenzi wangu...
Nina miliki baiskeli 3,qhoen
Hayo ni mache tu...

Endeleza.
 
Mi ndo charger,piga misele yako weee jioni utakuja tu na kisimu chako,siepukiki so far.Utajiri- namiliki cherehani,feni,kapeti la manyoya na friji used.
 
mimi namiliki stuli nne za mninga na meza yake, simu aina phillips na cherehani aina ya butterflower!!!
 
Back
Top Bottom