Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
hahahah mkuu mke wangu yupo encoded....
Last edited by a moderator:
hahahah mkuu mke wangu yupo encoded....
Unataka nirudie kufanya kama nilichomfanya huyu bwa mdogo???
![]()
Ha ha ha ha! Mr Rocky usijali nishakuombea msamaha dia, hatakufanya chochote lol. Unamuona sis wangu alivoenda hewani eeh? Familia yetu haichokozwagi kwaajili yake!charminglady am sorry aise sikujua kumbe wewe ni baunsa wa kike
Ngoja sweetlady aje aniombee msamaha aise
Sijui Nicas Mtei anataka kuja kuoa kwetu sis? Mwambie nafasi zimejaa.jibu zuri sana my lovly sis.... Nicas Mtei upo hapo????
Sijui Nicas Mtei anataka kuja kuoa kwetu sis? Mwambie nafasi zimejaa.
Hahahahaha! Like ! Like ! Like !
daddy naona hakujui wewe¡¡¡¡¡
I hope Lily Flower hajaipitia kabisa hii thread!
Una bahati sana
Niliahidi kuwa na wewe bega kwa bega mpaka kieleweke!
furaha
Kwani huyo Lily Flower ni memba humu jf? Id mpya kwangu hii.I hope Lily Flower hajaipitia kabisa hii thread!
Una bahati sana