CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
kuna mtu anasumbua daughter...hebu ngoja nimtafute mkwe @C6@ tuibuke pande hiyo...
dadddy si huyo mr rocky... eti anasema sina afya wakat me ndo baunsa wa familia
kuna mtu anasumbua daughter...hebu ngoja nimtafute mkwe @C6@ tuibuke pande hiyo...
Binamu yetu mtoto wa shangazi! Swali la nyongeza!?
Pawa mabula alikuja kijijini kwetu, akawa anapita mitaani huku akitangaza kuwa ana uwezo wa kuivuta Land Rover 109 kwa meno.
Alipofika mtaa wa pili akakuta Scania 112 ina trela iko kwenye tope lakini inatoka taratibu kama inasukumwa nyuma, alipoenda akakakuta katoto kana miaka 7 kanaisukuma peke yake.
Pawa Mabula Akazimia
Sisi ni wake wenza ..mie mkubwa ..mwenzangu mdogo ni hayo tu
Mwe mwe mwe mwe. Una tenda ya kunyonyesha wafungwa?
Kwa hiyo wivu wako upo pendind? We si ulisema kuwa ni kiwanda cha wivu? Au production imesimama?
teh teh..... mbona wafungwaaaaa????? nina tenda ya kuwanyonyesha watoto wa jeyikeyiiii c unajua walivyo wengi (many other)
Nicas relax kakangu.. Take note: hapa tupo CC.. Pale ilikuwa MMU. Sinaga mzaha katika mahusiano na mapenzi yangu. Misimamo yangu ni ile ile... Haiyumbi.
dadddy si huyo mr rocky... eti anasema sina afya wakat me ndo baunsa wa familia
Namiliki nguo zangu na kitanda cha ukaye
watu8 hizo ni nyama tuu hata kwenye sambusa zipo wala hatutishiki kwa hiloUnataka nirudie kufanya kama nilichomfanya huyu bwa mdogo???
![]()
Namiliki safety boot yenye thamani ya cherehani moja ya charminglady