CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mie namiliki mazombi matatu yote yamefika kwangu afu mie cna mkakati nayo nayavuna tu...,
shost nigaie japo moja ili tuwe pasu!!!
Mie namiliki mazombi matatu yote yamefika kwangu afu mie cna mkakati nayo nayavuna tu...,
shost nigaie japo moja ili tuwe pasu!!!
Hahahahaha! Lolest! Uwe makini wasijekuvuna na wewe siku moja tehe tehe!
Nimeipenda Cherehani yako ya "Siagimaua" au "Jibinimaua" Lol!
Ulikuwa hujui? WiseLady ! charminglady na sweetlady ni masis damu moja!kumbe sweetlady ni sis wako?
Poa poa sis charminglady! Lazima turingishie vitu vyetu tunavyovimiliki lol.
shost nigaie japo moja ili tuwe pasu!!!
Hahaha! Mekumiss pia Mr Rocky !duh kazi ipo sweetlady mekumiss wewe
Mi namiliki sahani mbili za plastic na vikombe vyake na sufuria mbili na jiko la kutumia mkaa moja na chumba cha kujengwa na kuezekwa kwa mavi ya ng'ombe hapa Hungumalwa na shamba ekari 50 ninazolima pamba na mtama
Teh teh teh my sis mechekaje???? yote mazombiee isipokuwa my shem wa ukwenheeee nitonye!!!!
Mwe ! Mwe ! Mwe!Wamvune nani?? Hawawez kwan huwa yanadhan mie zombi mwenzao so kupitia hilo nayavuna ka mpunga....
We hutayaweza inabidi ua2kt ka zombi mwenzao,ngoja ntakutafutia yako mawil
Achana na huyu sis charminglady bana! Hapo hakuna zombie hata mmoja manake kila mtu nimemgaia kipande chake cha moyo afu Mr Rocky nimekugaia kikubwa kuliko wote! Filipo kake kadunchuuu na tena akizubaa nakichukua afu nakiongeza kwa Mungi.
Hahahaha sis taratibu bana utaniangushia vidumu vyangu lol.Zombiiiiii!!!!!
kaainisha mwenyewe kuwa mumewe ni nani, sasa mliobaki tuwaiteje kama sio zombiiiii...
Haya ngoja nkupe jina zuri... MBEBA MAUA...