FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

kwani ulitaka ninune ndugu yangu mandingo acha nifurahi kwa raha zangu kwani raha najipa mwenyewe sitaki za kusubiria ni mbaya mbayaaaaaaaaaaaaaa
 
kwani ulitaka ninune ndugu yangu mandingo acha nifurahi kwa raha zangu kwani raha najipa mwenyewe sitaki za kusubiria ni mbaya mbayaaaaaaaaaaaaaa

we mtoto mbona unakatika katika hivyo! Embu nisikie ninavyosema!!!
 
unasemaje filipo au unataka kununua kesi ya mwenzio mandingo itakushinda hiyo uisiingilie kichwakichwa ndugu yangu tuache mm na mandingo weeeeeeeeeeeeee
 
unasemaje filipo au unataka kununua kesi ya mwenzio mandingo itakushinda hiyo uisiingilie kichwakichwa ndugu yangu tuache mm na mandingo weeeeeeeeeeeeee

Nisikilize mimi mwaya! Huyo Mandingo mwache akatibu hangover! Unatakiwa kufurahi ati!? Embu kam kwa pm maana huku akina sweetlady ni mcharuko sana na wife wangu marejesho ni sensitive kwenye black letters!
 
Last edited by a moderator:
ingia kama unataka sijakuzuia wasiwasi wako tu ingia ukipenda hata sasa ila niko bize na vikazi hapa, usijali ingia tu
 
Namkariibishwa kwangu filipo kwani wewe hupendi marejesho punguza wivu bibie
 
ulikuwa unanideep filipo una matatizo kidogo wenzio hawafanyi hivyo mbele za wake zao wewe unathubutu kufanya ole wako M akuone utakiona cha mtema kuni heeeeeeee
Ha ha ha!! Na cheti cha ndoa nimekikuza na kuweka kwenye fremu kabisa!!Ila ndio hivyo tena Arushaone !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom