Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
Hutaki rice cooker,coffee maker na microwave?
utakuja kunifundisha kuvitumia Ennie!
Hutaki rice cooker,coffee maker na microwave?
Madame B mwalimu wangu, mimi najisifia kukumiliki wewe, kwa maana ya ujuzi, ujanja, wepesi wa kuchanganua mambo, heshima kwa watu, nk, yaaniMimi bukheri na tineja wa afya mwanafunzi wangu.
Eti mwanafunzi wangu Kaizer,tangu umemaliza kozi yangu mpaka sasa unamiliki nini?
P'se usiniige mwalimu wako,
Mimi ni Kioo cha Jamii.
Kazi yangu ni kuhakikisha kuwa hufi kwa presha wala kisukari lol. Niko upande wako daima Mr Rocky!duh afadhali kiroho nimeshuka maana nilikuwa nishapata presha na bp na shell hapo hapo sweetlady charminglady ana wivu huyo ndo maana hata afya hana
Zombiiiiii!!!!!
kaainisha mwenyewe kuwa mumewe ni nani, sasa mliobaki tuwaiteje kama sio zombiiiii...
Haya ngoja nkupe jina zuri... MBEBA MAUA...
Achana na huyu sis charminglady bana! Hapo hakuna zombie hata mmoja manake kila mtu nimemgaia kipande chake cha moyo afu Mr Rocky nimekugaia kikubwa kuliko wote! Filipo kake kadunchuuu na tena akizubaa nakichukua afu nakiongeza kwa Mungi.
Kazi yangu ni kuhakikisha kuwa hufi kwa presha wala kisukari lol. Niko upande wako daima Mr Rocky!
hata hilo paka shume jeusi nao ni urithi au sio mheshimia St. Paka MweusiHeri Mtakatifu anayemiliki Urithi toka kwa babu yake(maswali sitaki)...
Mwenzangu lol. .. Jina lenyewe utata mtupu! Sikushauri diaKwanza umeliona hlo jina lake?
Utata mtupu.
Ndo hapa tunapoishia kuwazaa akina Siajabu, Sikitiko, Chaupele, Chausiku, Mateso, Siwajibu nk.
hata hilo paka shume jeusi nao ni urithi au sio mheshimia St. Paka Mweusi
Binamu yetu mtoto wa shangazi! Swali la nyongeza!?Vp kuhusu FirstLady na FirstLady1?