FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Nimeota kuwa watatoka sare 1-1 na hivyo Yanga kutolewa kwenye mashindano haya. CRB wataanza kufunga kipindi cha kwanza, na Yanga itarudisha katika kipindi cha pili.

Ni ndoto tu!
 
Back
Top Bottom