FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,868
20231220_120114.jpg

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°
πŸ† #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
πŸ“† 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
πŸ•– 4:00pm

Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!


#DaimaMbeleNyumamwiko#

Kikosi cha Yanga kinachoanza.
20231220_150657.jpg


Kikosi cha Medeama Kinachoanza.
20231220_155340.jpg

Dakika ya 33'
Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome.
Yanga 1 - 0 Medeama

Half Time:
Yanga 1 - 0 Medeama...

Dakika 61'
Yanga wanapata Goli la pili kupitia kwa Kenedy Musonda/Bakari Nondo

Yanga 2 - 0 Medeama...

Mpira unaendelea.

Dakika ya 66'
Goal kwa Yanga.
Mudathiri anafunga.

Yanga 3 - 0 Medeama

Mpira unaendelea

Dakika ya 90'
Jonathan Sowah anapata Red Card.
Baada ya kumchezea rafu Skudu.

Full Time.
Yanga 3 - 0 Medeama
 
Mimi sio mganga ila Yanga badae atasare au atashinda goli moja tuu.

Alafu nimechukia kabisa hapa
πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Kila la heri wananchi.
walau mvuke hatua hii mkutane na Mamelodi Sundowns.😊
Yanga atakutana na Petro Athletico.
I mean wale watakaopita kutoka kundi C.
Simba akipita atakutana na wale watakaopita Kundi A, ambao ndio Mamelodi, Tp Mazembe!!
 
Back
Top Bottom