FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,138
25,391
πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”°

πŸ† #CAFCL
⚽️ Young Africans SCπŸ†šCR Belouizdad
πŸ“† 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
πŸ•– 1:00 Usiku
20240220_012216.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad

1708787553717.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 1

Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 10
Musonda anakosa goli la wazi
Yanga SC wanapata Kona


Dakika ya 11
Lomalisa anapewa kadi ya njano

Dakika ya 14
Azizi k anakosa goli la wazi

Dakika ya 15
0-0

Dakika ya 17
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi musonda anapiga kichwa kipa anadaka

Dakika ya 21
0-0

Dakika ya 24
Musonda anapewa pasi kutoka kwa lomalisa anapiga kichwa kinaenda nje mwa lango la belouizdad

Dakika ya 29
Wachezaji na marefa wanapata mapumziko kidogo

Dakika ya 33
0-0

Dakika ya 40
0-0

Dakika ya 43
Goaaaaaaaal Mudaaaaaaaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ

Dakika ya 44
Musonda anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+1
Half time
20240224_195054.jpg

Kipindi cha pili

Dakika ya 46
GOAAAAL Aziz Kiiiiiii

Dakika ya 48
Goaaaaaaal Musondaaaaaaa

Dakika ya 50
3-0

Dakika ya 60
3-0

Dakika ya 63
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 67
Pacome anakosa nafasi ya wazi bado matokeo ni 3-0

Dakika ya 74
Belouizdad wamekosa nafasi ya wazi

Dakika ya 76
Yanga SC wanafanya mabadiliko katoka max kaingia okrah katoka lomalisa kaingia kibabage

Dakika ya 82
3-0

Dakika ya 83
Goaaaaaaaal guede

Dakika ya 87
Anatoka Aziz k anaingia mwamnyeto

Dakika ya 90+4
Full time
4 -0
20240224_210845.jpg
 
Back
Top Bottom