FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,137
25,384
๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ† #CAFCL
โšฝ๏ธ Al Ahly FC๐Ÿ†šYoung Africans SC
๐Ÿ“† 01.03.2024
๐ŸŸ Cairo International
๐Ÿ•– 6PM๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 7PM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC

20240301_173952.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FC
20240301_180843.jpg
Mpira umeanza

Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 10
0-0

Dakika ya 38
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 40
0-0

Dakika ya 41
Pacomeeee anakosa goli la wazi

Dakika ya 45 +3
Halftime


20240301_195114.jpg
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
El Shahat goal Al ahly wanapata goli hapa

Dakika ya 54
Al ahly 1-0 Yanga SC 0

Dakika ya 63
Al ahly 1-0Yanga Sc

Dakika ya 71
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka lomalisa anaingia kibabage na anatoka aucho anaingia sureboy

Dakika ya 79
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 87
Al ahly 1-0 Yanga SC

Dakika ya 90+6
---
CAF: Timu ya Yanga imekamilisha Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kupoteza kwa goli 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi D

Goli pekee limefungwa na Hussein El Shabat dakika ya 46, hivyo kuiwezesha Al Ahly kufikisha pointi 12 ikifuatiwa na Yanga yenye alama 8, sawa na CR Belouizdad ambayo imemaliza Makundi kwa kuifunga Medeama (4) magoli 3-0.

20240301_210015.jpg
 
๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐”๐๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ† #CAFCL
โšฝ๏ธ Al Ahly๐Ÿ†šYoung Africans
๐Ÿ“† 01.03.2024
๐ŸŸ AI salaam stadium
๐Ÿ•– 1:00 Usiku

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC
Kila la kheri mkishinda mnaongoza kundi
 
๐‹๐ˆ๐•๐„ ๐…๐‘๐Ž๐Œ ๐‚๐€๐ˆ๐‘๐Ž, ๐„๐†๐˜๐๐“๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

๐๐ˆ๐† screen iko tayari kwa ajili yako Mwananchi ๐Œ๐š๐ค๐š๐จ ๐Œ๐š๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐Š๐ฅ๐š๐›๐ฎ ๐‰๐š๐ง๐ ๐ฐ๐š๐ง๐ข kushuhudia mchezo wetu wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly FC utakaochezwa kesho majira ya saa 1:00 usiku๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mwananchi usikose burudani na surprise kibao kuanzia saa 6:00 mchanaโ€ฆ. Hii siyo ya kukosa๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
20240301_002711.jpg
 
Back
Top Bottom