FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,128
25,365
⚽️ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji
05.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku.
View attachment 2894502
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 9
Yanga SC wanapata Kona ya kwanza

Dakika ya 15
Bado ni 0-0

Dakika ya 20
Yanga SC wanakosa goli la wazi

Dakika ya 25
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 27
Mchezaji wa Dodoma anapewa kadi ya njano

Dakika ya 30
Bado 0-0

Dakika ya 35
Yanga SC wanapata Kona ya 2
Wanashambulia sana pacome na musonda wamekosa nafasi ya wazi kabisa

Dakika ya 37
Lomalisa anapiga mpira mzuri ndani ya boxi ya Dodoma jiji inamkuta musonda anapiga kichwa kinaenda nje ya uwanja

Dakika ya 40
Bado 0-0

Dakika ya 44
Musonda anafanya Madhambi na anapewa kadi ya njano

dakika ya 45 niongeza 6
yanga wanashambulia sana musonda anakosa nafasi ya wazi dakika ya 47 mchezaji wa Dodoma jiji anapewa kadi ya njano
20240205_195703.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 50
Bado 0-0

Dakika ya 55
Musonda anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 60
Pacome anakosa goli
Yanga SC wanapata Kona ya 5
Wanafanya mabadiliko hapa
Anatoka musonda anaingia mzize na anatoka mkude anaingia mudathir

Dakika ya 65
Bado ni 0-0 Yanga SC wanapata Kona ya 6 guede anapiga mpira kichwa unaenda nje

Dakika ya 70
Bado 0-0

Dakika ya 75
Bado ni 0-0 Yanga SC wanashambulia sana wanapigwa Kona ya 11

Dakika ya 82
Mzize anapiga kichwa kikali kipa anatoa Kona ya 12 inapigwa hapa musonda nae anapiga kichwa kipa anatoa hapa

Dakika ya 85
Gooool mudathir anafunga goli hapa kapokea pasi nzuri sana kutoka kwa pacome

Dakika ya 90 niongeza 5
Full time
20240205_211513.jpg
 
Back
Top Bottom