Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,243
- 1,773
Wazimu mkubwa sana mnao nyie viumbe, marekani ndio kilanja mkuu wa dunia? Wabaguzi wakubwa sana nyie.Hii ni aibu kubwa sanaaa kwa nchi. Sijajua kwanini huyu Mama anaruhusu hili litie dosari uongozi wake.
Kaingia madarakani kwa kura halali? Hapo ndio penye shida.Ana power yote inayosapotiwa na katiba mnayotaka ibadilishwe!
Vyombo vyote vya usalama vinamtii yeye!
.
Sasa inakuwaje hana hiyo nguvu ya kuvunjilia mbali hilo genge wakati yeye siyo dhalimu kama yule dhalimu wako?
Yeye ni Rais! Ameapa kuwa rais!Kaingia madarakani kwa kura halali? Hapo ndio penye shida.
Wasubiri mahakama itoe uamuzi. Kushangaa ni Hali yaoKukamatwa kwa Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe kwa tuhuma za uongo za ugaidi , kumekishangaza kituo cha Television cha CNN cha nchini Marekani , huu hapa ndio ujumbe wao
View attachment 1865892
Anaongoza kwa kufuata katiba na Sheria za TanzaniaMama hajui uongozi
Chadema wala Mbowe hawatajibu chochote wala kuandika maelezo yoyoteWasubiri mahakama itoe uamuzi. Kushangaa ni Hali yao
Utakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiria kama na wewe unawaz ujinga huu waliofanya serikali ni wa maana labda kama unamanufaa nao ila ujue hawataishia kwa mbowe ila kwa wote watakaoenda kinyume nao hata walipo ndani ya systemu muulize DialoWakat mwingine nawashangaa sana hawa mabeberu Uchwala hv Mbowe si binadamu hawezi kufanya kosa au kufanya mambo ya ajabu?
Mbowe anaweza kuwa ni kweli kaonewa au kafanya kweli ugaidi hasa iliyokuwa chadema ya 2005 mpk 2015 kuna mengi sana yenye sura ya Ugaidi yalikuwa yanafanyika Chadema
Hv Chadema umeijua leo au unaongea sikia Chadema sisi tunaijua vzr sana nimesema hata ukileta FBI wakaichunguza Chadema ya 2005 mpk 2015 makosa ya ugaidi na utekeji hawawezi kuepuka hata kidogo Muulize Zitto ,Dr Silaa wanajua kilichokuwa kinafanyika Chadema si unaongea tuUtakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiria kama na wewe unawaz ujinga huu waliofanya serikali ni wa maana labda kama unamanufaa nao ila ujue hawataishia kwa mbowe ila kwa wote watakaoenda kinyume nao hata walipo ndani ya systemu muulize Dialo
Wewe waka hapa ugaidi wa mbowe ni upi? Ugaidi hauwi siri. Vinginevyo ninyi ni wachawi mnaokula nyama za watu na mwisho wenu mtaujua wenyewe.Mbowe ni gaidi, hafai hafai hafaiiii
Yeye ni Rais! Ameapa kuwa rais!
Anatawala kwa katiba inayompa nguvu zote! Anaweza kufanya lolote bila bugdha yeyote,,!
Hata Magu mlikuwa mnasema kaingia kwa kura za wizi na ana boronga kwakuwa katiba inampa uhuru wa kufanya lolote!
Samia siyo dhalimu kama dhalimu wako. Sasa kwanini asiondoe hilo genge? Ili kama akizinguliwa anajiuzuru?