FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Safi sana inter kazi nzuri 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
 
ndugu Lax nadhani sasa unaelawa nilivyokwambia swali lako halipo realistic. Yani tuwe champions league winners kwa offside traps!?. Kukomaa na La liga tu ndio lilikuwa jambo la msingi
MKuu jana ilibaki kidogo sana
 
Aka ka yamal kanampira wa umiseta🤣🤣🤣


Kakiona mademu wanamuimba ndio anakaza tako
Wakikaa kimya anakuwa km kuku ndondo

Hakuna mchezaji apa misimu miwili ijayo hata spain hatapata namba timu ya taifa 😁
 
Wazee wa mpira mchafu, sema ni hiyo basi tu ila waitaliano siku zote wana mpira mgumu sana. Hawapaki poda kabisa, Nicolo Barella alikuwa anazunguka kama mwizi hapo katikati ya uwanja. Mpira sometimes kipaji hakitoshi bali maturity ni kitu cha muhimu sana, Fratessi alivyofunga kama ni mwingine anakosa pale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…