FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hey cules.

Naona mvunja kuni wetu Casado anaweza kuondoka msimu ujao.

Dogo hajapewa ofa ya ku renew mkataba wake pia anaona involvement yake imekuwa ndogo sana chini ya Hansi.

Binafsi ningependa abaki.
 
Sijapita hapa kijiwe kitambo sana. Nawatakia ushindi mnono dhidi ya Atletico Madrid. Mfuzu kwenda Nusu fainali.
Visca barca, visca catolunia.
 
Defence zetu zimekosa nidhamu, haiwezekani mechi 2 zitoe red card, mfano ile first game Cubarsi kapigwa red card, pale utaweza mlaumu kocha?

Game bado dakika zilikuwa za mapema kabisa, 1st half beki anayejitambua hawezi kurisk apewe red card kipuuzi vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom