BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Mimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Hahahaa naamini kabisa Ajax atapita, japo Spurs nao sio wa kubeza...
Kuhusu kutibua ndoto ya Barca, hiyo haipo...tutawadhibiti vizuri sana, hivyo don't worry!😊
