FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hakuna uchawi.. Ni uwekezaji tu..

IMG_20190428_130422.jpeg
 
Tuanze na huyu anayewapelekesha pamoja na kwamba saiv hayupo La liga

CR7
Beckham
Thiery henry
Bale
Suarez
Kautinyo
Etc etc etcccccc

Anyway muachen rashford hebu ridhikeni na Messi huko
taja wa EPL n na sie tuendelee
 
Tuanze na huyu anayewapelekesha pamoja na kwamba saiv hayupo La liga

CR7
Beckham
Thiery henry
Bale
Suarez
Kautinyo
Etc etc etcccccc

Anyway muachen rashford hebu ridhikeni na Messi huko
Rashford hatuko serious na hio takataka endelea kutaja

De Gea

pedro

Sanchez

Bravo
 
Tuanze na huyu anayewapelekesha pamoja na kwamba saiv hayupo La liga

CR7
Beckham
Thiery henry
Bale
Suarez
Kautinyo
Etc etc etcccccc

Anyway muachen rashford hebu ridhikeni na Messi huko
Mkuu umebugi

CR7
Suarez
Bale

Na hao wangine kwani wameanzia EPL?
Ao unakurupuka tuu
 
Sijabug mkuu

Walipoanzia huko mliwafahamu?waliwika kwenye ligi gani?umeangalia kwanza mjadala ulipoanzia mpaka unapoendelea?
Mkuu umebugi

CR7
Suarez
Bale

Na hao wangine kwani wameanzia EPL?
Ao unakurupuka tuu
 
Gabriel Heinze,Arjen Robben,Julien Faubert,Lassana Diarra,Alvaro Arbeloa,Xabi Alonso,Ricardo Carvalho,Emmanuel Adebayor,Luka Modric,Michael Essien,chicharito
Rashford hatuko serious na hio takataka endelea kutaja

De Gea

pedro

Sanchez

Bravo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom