FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

La Pulga De La Mesié
fc.barcelona.designs-20190502-0003.jpeg
GBWA-20190502001845.jpeg
 
Right flank haifanyi kazi, na naona kama Roberto anasumbuliwa sana na Mane kwenye spidi. Nadhani ni muda wa kumleta Semedo.

Coutinho is doing a good job, na Vidal naona anakata umeme kwa fujo.

Hawa jamaa wanavyomkaba messi watano watano, wanawaacha Coutinho na Suarez wanakimbia free, hakika watajutia.

Tukitulia, kuna mawili mengine tunaenda zetu kulala!
Nadhani ni muda sasa nianze kutumia kipaji changu cha utabiri kupiga pesa!

Unakuta mtu anauliza eti Vidal anafanya nini uwanjani? Nigga, do you even have an idea of what football is?

Kama hujaona efforts za hili south American beast, i suggest you stick to fashion magazines. Football is not for every one!
Nimeshangaa sana aisee..kuna jamaa anasema vidal hafanyi kitu uwanjani,unajiuliza huyu anajua mpira kweli??
 
Unakuta mtu anauliza eti Vidal anafanya nini uwanjani? Nigga, do you even have an idea of what football is?

Kama hujaona efforts za hili south American beast, i suggest you stick to fashion magazines. Football is not for every one!
Huyu ambae hajui kazi ya Vidal ni nan ,,,, mwambien akamuulize Sadio Mane alivopanick ,,,,,, tena vidal tunamuhitaj dk 90 game ijayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom